Reputation Power.

Reputation Power.

Asante
nitatry
usijali, ntakupa!

Ila ukitaka kumpa mtu, unabonyeza hako kanyota keusi mduara kalikopo baada ya kitufe cha send pm, unabonyeza halafu una-apruvu! Baada ya kuapruvu, una add coment!

Baada ya hapo, mambo swaaafi kabisa!
Try it..
 
Zina maana gani hizo rep power kwani maana hata mie nnazo nyingi hata sijui nani hua ananipaa
Uangalie na mwaka aliojiunga mtu msitufananishe na waliojiunga 2008
 
Zina maana gani hizo rep power kwani maana hata mie nnazo nyingi hata sijui nani hua ananipaa
Uangalie na mwaka aliojiunga mtu msitufananishe na waliojiunga 2008

watu huwa wanakupa ila wewe ndio hujui kurudisha!

jaribu kwa kubonyeza alama ya nyota baada ya send pm.. aprove then add comment, hivyo ndivyo rep zinavyoongezwa!

mkono mtupu...
 
Join Date : 11th November 2013
Posts : 297
Rep Power : 312891

Likes Received123
Likes Given179


hizo hapo kwenye red mkuu!

kuna watu walishakuongezea... ni zamu yako sasa kuongeza rep kwa wengine!

jinsi ya ya kuongeza rep.. bonyeza alama ya star inayoonekana chini baada ya send PM, approve, then add comment..

hivyo ndivyo reputation inavyoongezwa na member mmoja kwenda member mwingine..

ahsante...
Ngoja niendelee kuongezea wengine japo wengi ninaowaongezea wao wame-mute.
 
Back
Top Bottom