kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,387
Hallafu ukawapita walimu😉😉😉😉
Nakumbuka hata wewe tuliwahi kupeana kipindi kileee
Hallafu ukawapita walimu😉😉😉😉
Nakumbuka hata wewe tuliwahi kupeana kipindi kileee
Hahahahah kiwatengu tumekufundisha na umetupita sasa
Yeah n the game haijamaliza badooo
Yaaah! Jioni ntakufuata jikoni
Ikiwa competition mbona itakua rahaaa ntakupiga vikumbo hadi nkushinde lol😛😛😛😛
Sawa karibu sana hope utapata cha kujipikia.....
Ahhahahahaha umeona eeeh alikua amechangamkia mafunzo...
kwani mlimfundisha kwa njia gani? au ndiyo ile ya kumention sana akiweka uzi?
Yeye huwa ananipikia kila siku mbona? Not bad if u'll cook for me... friendly!!!
Next time usimfundishe vyengine lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums