Reputation Power.

Reputation Power.

Sawa chakula gani? Ila mlenda sijui mrenda sijui kupikaa usinicheke

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

ha ha ha ha! Umetaja mlenda nikapakumbuka dodoma! Tena kule ndani ndani, vijiji vya Kongwa.
Mlenda kuula sharti uwe umesimama afu unanawa mguu mmoja na mkono
Sasa wakati unakula mlenda si unajivuta, unatakiwa uukate kwa mguu ule uliounawa
Dah ni burdani kweli kweli..
 
nakumbuka hata mimi umenilift up several times.
especially kipindi nafanya show na wadau wa hapa jukwaani..

Ulirudisha kweli? Au bado sijaongea points za kukufurahisha? Rep. Inaendana na what some one speaks
 
ha ha ha ha! Umetaja mlenda nikapakumbuka dodoma! Tena kule ndani ndani, vijiji vya Kongwa.
Mlenda kuula sharti uwe umesimama afu unanawa mguu mmoja na mkono
Sasa wakati unakula mlenda si unajivuta, unatakiwa uukate kwa mguu ule uliounawa
Dah ni burdani kweli kweli..

Hahahahhaha makubwa hayo kula hadi kwa miguu.....afanaaaleik
 
uran anataka za wengine zistuck bana yeye ziongezeke tuu
kiwatengu najua unanidai ila si mpaka ikubali sasa
 
Last edited by a moderator:
Yaani huo uzi uko love connect kiwatengu sikuusoma maana nina alergy na lile jukwaa ila ukienda huko utauona mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom