Reputation Power.

Reputation Power.

ok ok mkuu will do the needful

mkuu nimedondosha kitu.. karibu jukwaa la celebrities kuna kitu hot sana!

dondosha jiwe ndani... itakuwa poa saaana!
 
hny mbona rahisi tu? just ingia hapo kwenye touch afu scroll down kuna sehemu imeandikwa full site bonyeza hapo, utatokea muundo kama wa anayetumia desktop.
hii usiingie kwa apps ya jf,
tumia browser e.g operamini au nyingine
ndiyo ufuate huo utaratibu,
afu

sasa ukitaka ku add rep. angalia mwisho wa comment unayotaka kuiongezea rep.
kwa pembeni karibia na palipoandikwa send Pm kuna ki icon cha nyota ki click afu utaona hapo rep either ya ku aprove au ku dis aprove na kuna sehemu pia ya kuacha na comment kabisa

Looh honey sijaelewa kitu twende chumban ukaanze upya kunielewesha
 
mkuu nimedondosha kitu.. karibu jukwaa la celebrities kuna kitu hot sana!

dondosha jiwe ndani... itakuwa poa saaana!

Niangalizie namie nna rep ngap,jana lenyewe gum ata kutamka ulimi unaongezeka uzito
 
waliozidi au wanaofuatia?

utafiti wako haujakaa sawa mkuu.. kuna watu wana rep nyingi sana kama Arushaone na BAK wako nafasi za juu kabisa!

Aisee naona jamaa nimewaacha kidogo..
Ukitaka kupokea kuwa mwepesi kutoa.

Sina uhakika kama hakuna mtu mwenye rep nyingi zaidi yangu.
Uran hebu fanya utafiti zaidi.
Wife wangu shansarie anangapi?
 
Last edited by a moderator:
Aisee naona jamaa nimewaacha kidogo..
Ukitaka kupokea kuwa mwepesi kutoa.

Sina uhakika kama hakuna mtu mwenye rep nyingi zaidi yangu.
Uran hebu fanya utafiti zaidi.
Wife wangu shansarie anangapi?

Kabisaaa mwenye kutoa hakosi kitu ati....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom