Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,898
- 55,879
Nabadilisha like kwa rep. Power anayetaka alike tu hii comment yangu nami nitampa rep power...
nasubiria aise, ama umuongezee Chimbuvu
Nabadilisha like kwa rep. Power anayetaka alike tu hii comment yangu nami nitampa rep power...
huyu mzee keshapaa bana!!
ana wake wengi kweli wanaompenda na kumjazia rep hata kama akiwachapa!! hahahaaa!!!
ha ha ha ha kaka nina mke mmoja tu hapa.
...jinsi ya ya kuongeza rep.. bonyeza alama ya star inayoonekana chini baada ya send PM, approve, then add comment...
What happens uki'disapprove?
Kuna ulazima wa ku'add comment???
aiseee una ulimi mtamu ww mwanaume!!!khaaaa hizo sifa tu hata mgumu analainika!:smile-big:ei eenh!! mzee acha uswahili..!
hivi mzee kale kadadaa kaliishia wapi? unajua kamekuja mchana kamenibana kweli kananiulizia?
aisee ka charty ni kazuri kale kabinti sijaona..! kakitembea huwa naona kama nakufa kufa hivi!! aisee kila kit.ako chake balaa! mtoto akiongea kiswazi nahisi anaongea kilatini na kiamerika!!! aisee kama umechoka meno niambie.. heheheeee!!
safi tu mkakaaaa!ndo hvo uje unipitie twende zetu bataniii!
heee jaman nichangamshe basii ntaonesha ushirikiano ehusijali kuhusu hilo....! mwenzio najisikia vibaya ati!! shavu kavu aisee!!
hebu changamka basiiiii!!!
mkuu tunaongezeana rep bana.. we unadhani ntamfanya nini mtoto mrembo charty! mtoto mwenyewe nikimwangalia tu nahisi kushiba kabisaaa!! akigeuka sasa, duh!! natamani asifike anakoenda..!! aisee charty ni anga nyinngine kabisa!!
she is ... oh baby!![/QUOTE
aya maneno matamu uwe unaniambiaga mie tu sawa Excel eh!!!????🙂
Mr Rocky anasemaje? mi mbona jamani namuongezea charty rep power tu!mkuu tunaongezeana rep bana.. we unadhani ntamfanya nini mtoto mrembo charty! mtoto mwenyewe nikimwangalia tu nahisi kushiba kabisaaa!! akigeuka sasa, duh!! natamani asifike anakoenda..!! aisee charty ni anga nyinngine kabisa!!
she is ... oh baby!![/QUOTE
aya maneno matamu uwe unaniambiaga mie tu sawa Excel eh!!!????🙂
eti charty, hebu niangalie basi na kajicho kako hako jamani! as if unasinzia vile!! you do the things i never seen b4!
hii ni nadhani ni rep kubwa sana..
opss! Am sory shkamoo braza mkubwa wa Excel, Mr Rocky
safi tu mkakaaaa!ndo hvo uje unipitie twende zetu bataniii!