super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 371
- 110
Kwa vile kumekuwa na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu jukwaa kuvamiwa, mimi nafikiri kuwepo na sub forum ya Great Thinkers kama ilivyo kwenye siasa; kuwe na qualification katika kuchangia kule. Na maswala yanayoumiza kichwa tu ndiyo yajadiliwe huko.
Post kama 'napita tu' zisiwepo,
Uchakachuzi aina yoyote usiruhusiwe,
Matani/jokes ambazo hazijibu hoja zisiruhusiwe.
Nadhani hii itasaidia wenye real problem kupata misaada ya michango ya mawazo mizuri ili wafanye maamuzi yanayofaa. Mahusiano ni changamoto na itaendelea kuwa changamoto, trend iliyopo sasa hivi mchangiaji wa kwanza akijibu hovyo au kuweka mizaha, basi trend yote ya michango hubadilika na kuwa mizaha/utani au hata matusi.
Ninajua wengi wetu, mimi mmoja wapo ni wachakachuzi wazuri tu; lkn kukiwa na restriction huko (kwamba once umechakachua then unanyimwa access ya kupost huko) then heshima ya zamani (before my time) itarudi.
Au kama kuanzisha sub forum ni tatizo basi, jukwaa zima liangaliwe upya na rules ziangaliwe tena ili vitu visivyo serious vibakie chit chat!
Sijui kama nimejieleza vizuri, lakini hayo ni maoni yangu; you are welcome to contribute.
Nimeonelea niwakumbushe wanajamii hususani jukwaa hili la MMU, mtu anapoomba ushauri tumshauri kweli kwa busara zote, tusianze mtupia matusi ama lugha za utani uloptiliza, kuna jukwaa la jokes nadhani lipo kwa minaajili hyo, humu mtu anataka ushauri wa kweli kwa yanayomsibu ila watu tumejisahau na kugeuza MMU kama forum ya Jokes na Matusi, tujitahidi....................kama huwezi, waweza pita tu na kuwaachia wa kushauri wafanye kazi yao.
Na unayeomba ushauri, uwe kweli ni mkasa realistic, either umetokea au waweza kutokea.
Ni hayo tu, naona tunaptiza sasa..
Gud tym to u
Wallah ntaongea na Invisible ampige chini Roulette akupe wewe na Paw kazi ya umodereta ili wanaoleta za kuleta wakaipate habari yao kwa babu Seya. BTW Roulette nadhani utakuwa umenielewa, nakuhitaji PM zaidi sasa unapokuwa mod, nakukosa sana kwenye chombeza PM kule. I hope hutanilamba Ban kama Meezy LOL
On serious note with a serious face, wanaoleta mada nao wawe serious. Wakileta misredi yao iliyokaa kiuchakachuzi, mie na timu yangu tunaingia kazini.
Natumaini wachakachuzi wakuu sweetlady, Preta, charminglady, Dena Amsi, cacico, Yummy, BADILI TABIA, Kongosho, Kaunga, AshaDii, Blue G, Cantalisia wakiongozwa na Erickb52, Mr Rocky, BAGAH, Kaizer, Rejao, Bishanga, KARIA, Judgement, King'asti na Mwali watapita hapa ili wajue uchakachuzi MMU hauruhusiwi.
Ukitaka uchakachuzi, karibu Chit Chat uonyeshe kipaji chako.
asante ndugu mwenyekiti...Wallah ntaongea na Invisible ampige chini Roulette akupe wewe na Paw kazi ya umodereta ili wanaoleta za kuleta wakaipate habari yao kwa babu Seya. BTW Roulette nadhani utakuwa umenielewa, nakuhitaji PM zaidi sasa unapokuwa mod, nakukosa sana kwenye chombeza PM kule. I hope hutanilamba Ban kama Meezy LOL
On serious note with a serious face, wanaoleta mada nao wawe serious. Wakileta misredi yao iliyokaa kiuchakachuzi, mie na timu yangu tunaingia kazini.
Natumaini wachakachuzi wakuu sweetlady, Preta, charminglady, Dena Amsi, cacico, Yummy, BADILI TABIA, Kongosho, Kaunga, AshaDii, Blue G, Cantalisia wakiongozwa na Erickb52, Mr Rocky, BAGAH, Kaizer, Rejao, Bishanga, KARIA, Judgement, King'asti na Mwali watapita hapa ili wajue uchakachuzi MMU hauruhusiwi.
Ukitaka uchakachuzi, karibu Chit Chat uonyeshe kipaji chako.
Tatizo pia lipo kwa wanaopost uchwara.
Nimeonelea niwakumbushe wanajamii hususani jukwaa hili la MMU, mtu anapoomba ushauri tumshauri kweli kwa busara zote, tusianze mtupia matusi ama lugha za utani uloptiliza, kuna jukwaa la jokes nadhani lipo kwa minaajili hyo, humu mtu anataka ushauri wa kweli kwa yanayomsibu ila watu tumejisahau na kugeuza MMU kama forum ya Jokes na Matusi, tujitahidi....................kama huwezi, waweza pita tu na kuwaachia wa kushauri wafanye kazi yao.
Na unayeomba ushauri, uwe kweli ni mkasa realistic, either umetokea au waweza kutokea.
Ni hayo tu, naona tunaptiza sasa..
Gud tym to u
Hahahaaaaaaaaaaa Asprin, Dena Amsi, Kongosho & Kaunga
:focus: super thinker umeeleweka ila labda ungetia msisitizo pia kwa wale wanaoleta pumba wasitegemee kupata mahindi alaaah!!!!
Wallah ntaongea na Invisible ampige chini Roulette akupe wewe na Paw kazi ya umodereta ili wanaoleta za kuleta wakaipate habari yao kwa babu Seya. BTW Roulette nadhani utakuwa umenielewa, nakuhitaji PM zaidi sasa unapokuwa mod, nakukosa sana kwenye chombeza PM kule. I hope hutanilamba Ban kama Meezy LOL
On serious note with a serious face, wanaoleta mada nao wawe serious. Wakileta misredi yao iliyokaa kiuchakachuzi, mie na timu yangu tunaingia kazini.
Natumaini wachakachuzi wakuu sweetlady, Preta, charminglady, Dena Amsi, cacico, Yummy, BADILI TABIA, Kongosho, Kaunga, AshaDii, Blue G, Cantalisia wakiongozwa na Erickb52, Mr Rocky, BAGAH, Kaizer, Rejao, Bishanga, KARIA, Judgement, King'asti na Mwali watapita hapa ili wajue uchakachuzi MMU hauruhusiwi.
Ukitaka uchakachuzi, karibu Chit Chat uonyeshe kipaji chako.
Nimeonelea niwakumbushe wanajamii hususani jukwaa hili la MMU, mtu anapoomba ushauri tumshauri kweli kwa busara zote, tusianze mtupia matusi ama lugha za utani uloptiliza, kuna jukwaa la jokes nadhani lipo kwa minaajili hyo, humu mtu anataka ushauri wa kweli kwa yanayomsibu ila watu tumejisahau na kugeuza MMU kama forum ya Jokes na Matusi, tujitahidi....................kama huwezi, waweza pita tu na kuwaachia wa kushauri wafanye kazi yao.
Na unayeomba ushauri, uwe kweli ni mkasa realistic, either umetokea au waweza kutokea.
Ni hayo tu, naona tunaptiza sasa.. Gud tym to u
Umeona eeeehhubby na mie nimo?
Ila mleta mada hata ukilalama kama mtu hajaleta thread serious ategemee majibu ambayo sio serious.... Kabla mtu hujaposti thread yako icheki vizuri, ukipost kitoto utajibiwa kitoto, ukipost kiutu uzima watakushauri kiutu uzima...... N lugha pia inachangia ukiandika lugha kama upo kariakoo shimoni tegemea majibu ya aina hiyo hiyo....