Rekodi za uongozi wa Rais Kikwete hizi hapa

Rekodi za uongozi wa Rais Kikwete hizi hapa

umeona eeh? kuna watu humu wanajitoa akili kuwashabikia mafisadi utadhani vichwa vyao vimejaa konokono badala ya ubongo. watahangaika sana kuwashobokea mafisadi lakini mwisho wa siku wataambulia patupu.

Mkuu tukana tu, wewe mwenyewe umejitoa ufahamu ndo maana unalipuka na kuongea urojo!hasira zako kwa Mhe. rais naona unataka kuzihamishia kwangu, wewe unatumika tu ni kibaraka mfia UKAWA huna lolote zaidi ya kupiga ramli chonganishi!
 
Kinjekitile junior Wewe una agenda yako ni kutukana rais au una nyingine mara Ndorobooo mara nini unatokwa povu tu unawaza maharage kilo sh. 350 unawaza nchi yako ni kisiwa, miaka 10 iliyopita sio sasa bei ya mwaka 2005 haiwezi kuwa refrected leo lazima mabadiliko yawepo acha ujuha wewe mwenyewe umeongezeka kimo kama sio umezeeka! Unashangaa nini mabadiliko ya uchumi![

Refrected= sijui hapo ulikuwa unamaanisha nini? tumia kiswahili tu au kama umejifunza kiarabu ukakielewa nayo si mbaya. inaonekana wanaomtete pia hata uwezo wao mdogo we kinjekitile njaa. unatetea hujui hata unachotetea. angalia asilimia ya kupanda kwa bidhaa kipind cha mkapa maharage toka tsh 350 mpaka 550 ndani ya miaka 10 ambayo kuna tofauti ya tsh 200 .na linganisha na hiyo tsh 550 mpaka 2300 ndani ya kiongozi huyu ndani ya miaka 100 ambayo kuna tofauti ya tsh 1750 . hujui hata hesabu. huoni kuwa hili ni janga la taifa? hivi hata wanaomtetea pia nao wanakuwa vilaza? maana inaonekana yeye ana washauri wabaya,ana mawaziri wabaya,anawateteaji wabaya/vilaza... then how can he be smart? ndege wa rangi moja huruka pamoja. ukiwa unafanya mambo ya kijinga halaf ukaulizwa ukasema ni rafiki zako wanakushauri au wanakushawishi wewe unakuwa si mjinga bali MPUMBAVU. sasa tujitahidi angalau kuficha upumbavu wetu.
miaka 10 ya kupoteza ipite tutafute Rais wa kufaa this term tuache kufanya ujinga wa kipindi kile na ambao gharama yake tumeiona.Elimu imeshuka,uchumi umeshuka, kumebaki hotuba za vijembe.majungu na unafiki ambao ni tamaduni za watu wa huku kwetu. NI AIBU KUTETEA MADUDU YALIYOPO ni lazima uwe na akili za hovyo kama za nguruwe au mbwa koko. ukiwa na akili nzuri sharp na imara kama ya simba huwezi.utajisikia aibu tu .

Mimi nawashauri kama angalau mna uwezo mdogo wa upambanua angalau kama mna uwezo wa kuwa na common sense mngeacha kutetea uozo huu kwa ujira mdogo/itikadi zenu ambazo hazisaidii Watanzania. wakati mwingne ni aibu hata kusema mimi Mtanzania. angalieni Bajeti ya kenya ni mara mbili zaidi yetu. na bado sisi tunategemea kuomba omba ktk bajeti yetu na...anyway mkuu aliwahi kusema "ukitaka kula lazima nawe uliwe" sasa hatujui kwa kiasi gani ameliwa.tumeliwa,wameliwa. ni aibu, huwezi kuwa na akili nzuri umeoa halafu unapitisha bakuli kuomba omba chakula kwa ajili ya familia yako. kwan ulilazimishwa kuoa?kuoa kama hujawa nauwezo si jambo la lazima sana. so watu wanataka uongozi wakati hawana uwezo vichwa vya panzi.
mnaotetea haya mngeanyamaza tu mumwahe mh prof rais amalize tu mambo yake then apumzike maana najua atakuwa amechoka kwa jinsi ambavyo amezunguka dunia nzima. apewe muda wa kumpumzika nanyi mnapomtetea mnazidi kumpaka uchafu.mwacheni. acheni sasa mimi ndo nimtetee. RAIS amezungukwa na wahsuri wabaya hivyo ndo maana mambo yake yote yapo hovyo hovyo, rais anawatu wanaofikria kwa niaba yake vibaya,rais hapati muda wa kuwaza mambo ya msingi maana muda wote anakuwa yupo safarini,.....hapo je? si nmemtetea vizuri kuliko nyie vilaza?

Minor things komaa tu nadhani una muda wa kutosha kuandika non sense humu JF, na hao wanafunzi unaowafundisha watakua vilaza kama wewe!

Huna jipya UKAWA at work! Bila kuzungumzia Rais na agenda ya kumchafua wala hamuoni raha, mnajifanya hamuoni step iliyopigwa kwa juhudi za Mhe.Rais badala yake mnakomalia upande mmoja wa shilingi ili muonekane mnaijua sana Serikali na utendaji wa RAIS,

Hakuna jipya kwako unanielezea habari za bajeti ya Kenya ambayo fedha nyingi imetengwa kwenye shughuli za kijeshi au unakurupuka bila kujua unaandika nini, mabadiliko ya uchumi duniani kote na ukanda wa EA huyaoni unakalia kuimba mashairi, inaonekana hata ingekuja hoja ya kueleza mafanikio ya JK katika uongozi wake wewe ungepinga tu maana ndo akili yako!KIfupi kajipange upya inaelekea huwa unatoroka darasa unalofundisha kuja hapa JF kuchafua hali ya hewa na kutumia maneno ya mfa maji ili kuhalalisha unafiki wako,na maneno ya kuokoteza ili ujaze page, kachangie mada zingine sio hapa wewe na mitusi yako!
 
Mkuu tukana tu, wewe mwenyewe umejitoa ufahamu ndo maana unalipuka na kuongea urojo!hasira zako kwa Mhe. rais naona unataka kuzihamishia kwangu, wewe unatumika tu ni kibaraka mfia UKAWA huna lolote zaidi ya kupiga ramli chonganishi!

mkuu, mbona hueleweki? shule mnafungua lini? bora shule zifunguliwe tupumue makelele yenu maana inaonekana jf imevamiwa na wanafunzi wengi kipindi hiki cha likizo.
 
mimi sifundishi DARASA nafundisha JUKWAA na watu binafsi kama wewe na darasa langu lipo kila sehemu kila saa kuelimisha watu wa namna yako. Mabadiliko ya uchumi haya yanaathiri zaid TZ tu? huu si ndo uvibu wa kufikiri?

na hapo hakuna nlipotukana. ukinonesha neno moja ambalo ni tusi naomba ADMIN wanifungie siku 3. ikiwa utanionesha kuwa ni tusi na wadau wengine wenye uelewa wakakiri nmetukana ntaomba radhi na ntaomba nipewe adhabu. mafanikio ya kikwete ni kuwa nchi imeweza kujulikana dunia nzima kupitia yeye kwa kuwa akiwa huko anajitambulisha yeye ni rais wa tanzania.

mafanikio mengine tumeweza KUUA TEMBO WENGI sana kuuuza meno ya TEMBO NCHI ZA NJE , mengine ni kuwa sasa TUNAFAHIKA SANA CHINA KWA KUUZA MADAWA YA KULEVYA NDANI YA HII MIAKA 10.

Haya yote ni mafanikio na kutangaza nchi. leta swali au hoja nyingine. NA YALE MAJINA YA WAUZA MADAWA NA WAUAJI/MAJANGIRI MHESHIMIWA ATATUTAJIA LINI? au alipoteza list? HAYO PIA NI MAFANIKIO.
 
mimi sifundishi DARASA nafundisha JUKWAA na watu binafsi kama wewe na darasa langu lipo kila sehemu kila saa kuelimisha watu wa namna yako. Mabadiliko ya uchumi haya yanaathiri zaid TZ tu? huu si ndo uvibu wa kufikiri? na hapo hakuna nlipotukana. ukinonesha neno moja ambalo ni tusi naomba ADMIN wanifungie siku 3. ikiwa utanionesha kuwa ni tusi na wadau wengine wenye uelewa wakakiri nmetukana ntaomba radhi na ntaomba nipewe adhabu. mafanikio ya kikwete ni kuwa nchi imeweza kujulikana dunia nzima kupitia yeye kwa kuwa akiwa huko anajitambulisha yeye ni rais wa tanzania. mafanikio mengine tumeweza KUUA TEMBO WENGI sana kuuuza meno ya TEMBO NCHI ZA NJE , mengine ni kuwa sasa TUNAFAHIKA SANA CHINA KWA KUUZA MADAWA YA KULEVYA NDANI YA HII MIAKA 10. Haya yote ni mafanikio na kutangaza nchi. leta swali au hoja nyingine. NA YALE MAJINA YA WAUZA MADAWA NA WAUAJI/MAJANGIRI MHESHIMIWA ATATUTAJIA LINI? au alipoteza list? HAYO PIA NI MAFANIKIO.

Mkuu naona unaweweseka , ha ha ha ha ha Kwa jinsi ulivyomropokaji na hilo jina lako utataja kazi zako zote leo, unatumika tu, elimu yako uliyoipata chini ya mwembe pelekea wenzako mnaofanana akili!kuwa makini na michango yako afu punguza porojo na maneno mengi!
 
Mkuu naona unaweweseka , ha ha ha ha ha Kwa jinsi ulivyomropokaji na hilo jina lako utataja kazi zako zote leo, unatumika tu, elimu yako uliyoipata chini ya mwembe pelekea wenzako mnaofanana akili!kuwa makini na michango yako afu punguza porojo na maneno mengi!

jibu hoja kwa hoja...acha kupayuka kama kuku anayetafuta kiota cha kutagia?
 
Unalia nini na avatar yako juzi tu Silaha bwana wako kaenda ulaya kujifunza Demokrasia na utawala bora then akaenda uscotch hapo hajawa rais mwezi wa nne alienda mwezi wa 6 akaenda tukimpa urais si atafia angani huyo pisha!!!
Wape kweli yao hao wanafiki ambao najua hadi leo Silaa wameshamgeuka
 
napata shida kujadiliana na mtu mwenye uelewa finyu kama wewe. hv hizo barabara za kufikirika unazodai JK alizijenga kwa kutumia mshahara wake au ametumia kodi ya baba, mama, dada, shangazi na ndugu zangu wengine tena kwa 5% huku mafisadi wa CCM wakitafuna 95% iliyosalia?
wewe ndugu umekarirshwa maneno fisadi ccm huna lolote la maana unaloongea. Barabara kilomita moja hujengwa kwa bilioni ngapi na kama 5% ndo inajenga barabara na 95% inaliwa basi serkali inakusanya hela nyingi sana.

Kwa kweli nachelea kusema kuwa hoja zako ni za kutilia shaka. Hazina mantiki yoyote zimekaa kiuchochezi. Pokea hiyo dozi kwa leo.
 
hebu niambie ni rais gani hapa ulimwenguni aliwahi kuwabembeleza wezi warejeshe fedha za umma walizoiba kisha akachukua zile fedha akazitia mifukoni mwake na kuwaachia wezi waende zao!
Hakuna rais ambaye amewahi kubembeleza wezi warudishe mali ya wizi. Labda wewe ukiwa rais wa mtaa ndo utafanya hivyo lakini Rais Kikwete hajafanya hivyo na hatafanya hivyo.

Tuliza ubongo wako fanya kazi na si ajabu hata leo hujui utakula nini maskini ndugu yangu
 
mkuu, mbona hueleweki? shule mnafungua lini? bora shule zifunguliwe tupumue makelele yenu maana inaonekana jf imevamiwa na wanafunzi wengi kipindi hiki cha likizo.

Kumbe kweli uko chekechea. Nani alikufundisha kuandika vizuri wakati ungali mtoto mdogo vile.

Sasa huyo aliyekufundisha mwambie akufundishe na kujenga hoja ukijakufika la kwanza utakuwa unaongea na kuandika vizuri vipi likizo inaendeleaje.

Kumbuka homework uzimalize kabla ya kufungua shule humu JF tuachie wakongwe.
 
mimi sifundishi DARASA nafundisha JUKWAA na watu binafsi kama wewe na darasa langu lipo kila sehemu kila saa kuelimisha watu wa namna yako. Mabadiliko ya uchumi haya yanaathiri zaid TZ tu? huu si ndo uvibu wa kufikiri? na hapo hakuna nlipotukana. ukinonesha neno moja ambalo ni tusi naomba ADMIN wanifungie siku 3. ikiwa utanionesha kuwa ni tusi na wadau wengine wenye uelewa wakakiri nmetukana ntaomba radhi na ntaomba nipewe adhabu. mafanikio ya kikwete ni kuwa nchi imeweza kujulikana dunia nzima kupitia yeye kwa kuwa akiwa huko anajitambulisha yeye ni rais wa tanzania. mafanikio mengine tumeweza KUUA TEMBO WENGI sana kuuuza meno ya TEMBO NCHI ZA NJE , mengine ni kuwa sasa TUNAFAHIKA SANA CHINA KWA KUUZA MADAWA YA KULEVYA NDANI YA HII MIAKA 10. Haya yote ni mafanikio na kutangaza nchi. leta swali au hoja nyingine. NA YALE MAJINA YA WAUZA MADAWA NA WAUAJI/MAJANGIRI MHESHIMIWA ATATUTAJIA LINI? au alipoteza list? HAYO PIA NI MAFANIKIO.
Kweli wewe chizi na maarifa huna ndo mana hata unavyoandika havina sense. Nenda kalale au urudishwe Milembe upone uchizi.
 
Inaelekea na wewe ni mdau wa ufisadi,shame on you!
Ndoto ndoto ndoto. Nilishawambia watoto wadogo nendeni mkalale acheni kukurupuka na kuingia jukwaani. Humu tunataka wenye vichwa vya kufikiri na kuchambua pia na kujenga hoja.:flame:
 
We mwehu sana huna akili, sasa unadhani JK anajipangia tu safari? Ofisi ndo inaratibu hayo yote, na anaenda kwa manufaa ya wewe na tumbo lako achaga wehu au viroba vinakusumbua na bangi? Imagine angekuwa baba yako ungeandika huo ujinga wako hapa? Think twice b4 you do.

Ina maana yeye ni zezeta kiasi kwamba ni lazima kila safari anayopangiwa aende? Ina maana marais wengine nao hawapangiwi safari lakini kutokana na manufaa ya safari hizo ama wanazikataa au kutuma wawakikishi?

Hapa siyo suala la baba bali ni suala la kitaifa. Linganisha faida ya safari hizo na matumizi makubwa ya fedha ambayo ingefanya kitu kingine wakati wanafunzi wanakalia mawe. Think before you leap.
 
Back
Top Bottom