Rekodi za uongozi wa Rais Kikwete hizi hapa

Rekodi za uongozi wa Rais Kikwete hizi hapa

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,596
Reaction score
28,860
Wakati Rais Kikwete akikaribia kumaliza ngwe yake uongozi, ni vema tukajikumbusha rekodi mbalimbali alizoweka na ambazo zimetia fora katika kipindi chake cha uongozi wa miaka 10:

1. EPA: Amekuwa ni rais wa kwanza duniani kuwaomba wezi wa mali za umma warejeshe fedha walizoiba na kisha akaachia huru bila SHURUTI. Na mpaka sasa hakuna mtanzania hata 1 anayewafahamu wezi hao wala kiasi cha fedha walizomrejeshea JK na fedha hizo ziko wapi! Ni JK na familia yake pekee wanaofahamu fedha zilizorejeshwa wamezitumiaje. Kwa hili, JK amedhihirisha sio tu kwamba ni rais wa kipekee hapa duniani, bali ni rais wa kupigiwa mfano kwa maamuzi magumu ya kitaifa.

2. UTALII: Rais JK ameweka rekodi ya kuwa rais aliyesafiri sana nje ya nchi hata kwa safari ndogo ambazo hazina tija kwa taifa na mara zote amekuwa akiandamana na mamia ya wapambe. Jumla ya safari zake zinakadiriwa kugharimu zaidi ya bajeti ya serikali.

3.UFISADI: Katika uongozi wake, vitendo vya kifisadi vimeongezeka mara dufu ukilinganisha na watangulizi wake.

4..
 
We mwehu sana huna akili, sasa unadhani JK anajipangia tu safari? Ofisi ndo inaratibu hayo yote, na anaenda kwa manufaa ya wewe na tumbo lako achaga wehu au viroba vinakusumbua na bangi? Imagine angekuwa baba yako ungeandika huo ujinga wako hapa? Think twice b4 you do.
 
Hajafamu kakah Huwenda angependa yy kua kiongoz ngaz ya juu
Tangaza nia Rafik utapita MUNGU akipenda
 
na zile fedha zetu alizochukua kutoka kwa wezi wa EPA ziko wapi? mbona unahemka kama kuku anayetafuta kiota cha kutagia?
 
Hajafamu kakah Huwenda angependa yy kua kiongoz ngaz ya juu
Tangaza nia Rafik utapita MUNGU akipenda

hebu niambie ni rais gani hapa ulimwenguni aliwahi kuwabembeleza wezi warejeshe fedha za umma walizoiba kisha akachukua zile fedha akazitia mifukoni mwake na kuwaachia wezi waende zao!
 
tpaul

Nilijua tu post yako itakua imejaa uvundo chuki na uzandiki wa kuangalia negativity juu ya presida kulidhihirisha hilo hata namba nne umeshindwa kuiandika! Teh teh unatumika tu mkuu kama dodoki!
 
Last edited by a moderator:
We mwehu sana huna akili, sasa unadhani JK anajipangia tu safari? Ofisi ndo inaratibu hayo yote, na anaenda kwa manufaa ya wewe na tumbo lako achaga wehu au viroba vinakusumbua na bangi? Imagine angekuwa baba yako ungeandika huo ujinga wako hapa? Think twice b4 you do.

MKuu Hat Ile ya Kwenda KUBEMBEA JAMAICA alioangiwa?
Hakika waano Mpangia ni
 
hebu niambie ni rais gani hapa ulimwenguni aliwahi kuwabembeleza wezi warejeshe fedha za umma walizoiba kisha akachukue zile fedha akazitia mifukoni mwake na kuwaachia wezi waende zao.

Wewe umekunywa mvinyo wa Taipei, naona huu uzi umekosea njia! Ni bora utafute ajenda nyingine na sio ya kumchafua Rais, kwa juu umeandika title ya mada kujificha ili uje uropoke ndani kama wewe kidume si ungeanza na mambo yako!
 
MKuu Hat Ile ya Kwenda KUBEMBEA JAMAICA alioangiwa?
Hakika waano Mpangia ni

Usiropoke dogo, Jamaica unawaza ni Bembea ile?

Tatizo la kushinda baa, hujui hata infrustructure za nchi nyingine ambazo ili ufike eneo fulani la milimani lazima upande zile lift sasa wewe kwa akili yako ndogo unawaza ni bembea tembea uone usikalie kula sembe na viazi wewe!
 
Jay Milionea ungekaa kimya wala watu wasingekujua ulivyo. unaona sasa watu wote wenye akili wameshakujua ukoje.

aahh sometme kablsa hujapost kitu uwe unauliza ndugu yangu. safari za Kikwete hazijawah kuwa na manufaa.. utakuwa mpumbavu kufurahia baba yako halimi ila anashinda kuomba omba kwa watu na akirudi unamshabikia kuwa anaenda kutembeza bakuli. we utakuwa una mtindio wa ubongo.

safai zake ni gharama kwa taifa. afanye utalii wa ndani aache wa nje.
 
Last edited by a moderator:
Mgonjwa anafukuzwa ocean road cancer I... namda wauchunguz tarehe ya mwezi huu tufanyaje jaman?????
 
wakati akiomba udhamini huko mkoani tanga, mgombea urais wa CCM, Amina Salum Ally alisema:

"Tanzania ni nchi pekee hapa duniani ambako mwizi anaiba mali za umma halafu anaombwa arejeshe mali alizoiba bila kufikishwa mahakamani na kisha anaachiwa arudi mtaani aendelee kuiba". Mwisho wa kunukuu.

Hata makada wa CCM wamechoshwa na hizi rekodi za JK ila wanafunika kombe mwanaharamu apite.
 
Jay Milionea ungekaa kimya wala watu wasingekujua ulivyo. unaona sasa watu wote wenye akili wameshakujua ukoje. aahh sometme kablsa hujapost kitu uwe unauliza ndugu yangu. safari za Kikwete hazijawah kuwa na manufaa.. utakuwa mpumbavu kufurahia baba yako halimi ila anashinda kuomba omba kwa watu na akirudi unamshabikia kuwa anaenda kutembeza bakuli. we utakuwa una mtindio wa ubongo. safai zake ni gharama kwa taifa. afanye utalii wa ndani aache wa nje.

Mkuu naona umeshiba sembe huna ulichopost zaidi ya ushabiki na mifano yako ya mashamba hapa wewe ni Mtanzania au msomali? Kama hujui manufaa au faida ambazo rais kazileta kwa nchi basi utakua muhamiaji haramu!
 
Nilijua tu post yako itakua imejaa uvundo chuki na uzandiki wa kuangalia negativity juu ya presida kulidhihirisha hilo hata namba nne umeshindwa kuiandika! Teh teh unatumika tu mkuu kama dodoki!

mkuu, katika hizo rekodi 3 si unaona jinsi uongozi wa JK ulivyotukuka (hasa hiyo ya EPA)?
 
wakati akiomba udhamini huko mkoani tanga, mgombea urais wa CCM, Amina Salum Ally alisema:

"Tanzania ni nchi pekee hapa duniani ambako mwizi anaiba mali za umma halafu anaombwa arejeshe mali alizoiba bila kufikishwa mahakamani na kisha anaachiwa arudi mtaani aendelee kuiba". Mwisho wa kunukuu.

Hata makada wa CCM wamechoshwa na hizi rekodi za JK ila wanafunika kombe mwanaharamu apite.

Avatar yako mkuu inasikitisha umeshapoteza matumaini ya kuishi, hiyo ajenda ya kumchafua JK kupitia thread yako uliyopewa na babu yako warudishie UKAWA waambie Warudishe ruzuku kwanza!
 
MKuu Hat Ile ya Kwenda KUBEMBEA JAMAICA alioangiwa?
Hakika waano Mpangia ni

Hata ile ya kwenda kutembelea Kiwanda cha ndege Boeing wakati hatuna baiskeli. Huko nako alipangiwa?

Mkapa alikuwa hapangiwi kiasi hicho. Hayo ni matakwa yake. Si lazima kukubali kila mualiko!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wewe umekunywa mvinyo wa Taipei, naona huu uzi umekosea njia! Ni bora utafute ajenda nyingine na sio ya kumchafua Rais, kwa juu umeandika title ya mada kujificha ili uje uropoke ndani kama wewe kidume si ungeanza na mambo yako!

tetea hoja acha kuruka viunzi. kama unadhani jk hajaweka hizo rekodi si uziweke sawa ili watanzania waelewe? nyambaf mkubwa...tetea hoja usirukeruke kama kuku anayetafuta kiota cha kutagia.
 
Back
Top Bottom