Rekodi za uongozi wa Rais Kikwete hizi hapa

Rekodi za uongozi wa Rais Kikwete hizi hapa

kumbe wewe alikuwekea kwenye sidiria ndipo ukaziona? je, sidiria yako ni kubwa kiasi gani hadi itoshe kubeba zile noti zote?

haya, nimekuelewa. na wale wezi wetu wako wapi? au wapo kwenye gagulo lako? hebu watoe tuwapeleke segerea wakatumikie vifungo vyao vya maisha.

Mkuu wewe leo hauko sawa, na unakaribia kuehuka!
 
Wewe unatumika sio bure na inaelekea akili yako ina makengeza!

hivi ni kwanini kila mzalendo anayetetea ustawi wa watanzania huamimika kwamba anatumika? ina maana nyie CCM mnataka rasilimali za umma ziibiwe na mafisadi mpaka lini? hivi mmerogwa ama mmelaaniwa na shetani?
 
mkuu, najaribu kuwaelimisha hawa lakini wanakuwa wagumu wa kuelewa. hizi shule za kata za CCM zimeharibu akili za vijana wetu.

Unamuelimisha nani wewe UKAWA hiyo elimu yako wapelekee BAVICHA na familia yako!
 
hivi ni kwanini kila mzalendo anayetetea ustawi wa watanzania huamimika kwamba anatumika? ina nyie CCM mnataka rasilimali za umma ziibiwe na mafisadi mpaka lini? hivi mmerogwa ama mmelaaniwa na shetani?

Wewe mwzi wa Ruzuku k bancher unajifanya mtetezi wa ustawi wa jamii wakati umetulia posho wabunge wako wanakula, Ruzuku wamegonga husemi wewe Yuda Eskariote pisha huko!
 
Last edited by a moderator:
Wewe kipofu mazuri ya Dr. Kikwete huyaoni. Barabara za lami hadi kwenu Tunduru, viwanja vya ndege karibu vyote vina lami kwa sasa, madaraja kila kona hata la kwenda kwa wajomba zako Kigoma hulioni, mwafaka wa Zanziba na kuondoa vurugu za CUF huyaoni hayo hadi serikali ya umoja wa kitaifa imekuwepo. Unataka akuletee pesa nyumbani mwako ndo utasema kafanya vizuri muulize Mwalimu alitembelea nchi ngapi. Acha kubwatuka tu.

Hizo barabara za lami za disposable ndio mnajisifia nazo kila siku zinaripewa.
 
Huyu ni kama yule malaria sugu wakati wa ubora wake.

Mkuu hujielewi achana na huyo tpaul metumika sana kama doki ni wakati sasa wa kumpumzisha, kaona njia rahisi ya kupata sifa ni kumchafua kwa makusudi Rais wa nchi!
 
umeona eeh? mkuu, naehuliwa na hawa mafisadi wa CCM wanaokwapua rasilimali za taifa kila kukicha na kuiacha nchi ikiwa uchi!

Na bado utapelekwa Milembe mkuu tuliza kichwa, unakosa kuehuka kwa sababu ya UKAWA na hao CDM wako wameshindwa kujenga ofisi miaka 23 wanakalia kupopoa Ruzuku wanayopewa na Serikali ya CCM na hao wabunge wenu wanaojiita watetezi wa watu kumbe wachumia tumbo kama wewetu, Mayuda ESKARIOTE wamekubali kwa kauli moja posho ya milioni 230 unataka nini hapa wewe acha kutumika!
 
Hizo barabara za lami za disposable ndio mnajisifia nazo kila siku zinaripewa.

Kwani wewe huyo rais wako wa kufikirika aka nguvu ya mabua the Great Babu keshajenga ngapi mbali na kupita kwenye barabara za JK? Acha kulipuka wewe misafara yenu ya MABAVICHA iko facilitated na barabara za Serikali ya CCM AFU LEO unajifanya kuachia mishuzi hadharani acha hizo!
 
Kwani wewe huyo rais wako wa kufikirika aka nguvu ya mabua the Great Babu keshajenga ngapi mbali na kupita kwenye barabara za JK? Acha kulipuka wewe misafara yenu ya MABAVICHA iko facilitated na barabara za Serikali ya CCM AFU LEO unajifanya kuachia mishuzi hadharani acha hizo!

napata shida kujadiliana na mtu mwenye uelewa finyu kama wewe. hv hizo barabara za kufikirika unazodai JK alizijenga kwa kutumia mshahara wake au ametumia kodi ya baba, mama, dada, shangazi na ndugu zangu wengine tena kwa 5% huku mafisadi wa CCM wakitafuna 95% iliyosalia?
 
Last edited by a moderator:
napata shida kujadiliana na mtu mwenye uelewa finyu kama wewe. hv hizo barabara za kufikirika unazodai JK alizijenga kwa kutumia mshahara au ametumia kodi ya baba, mama, dada, shangazi na ndugu zangu wengine tena kwa 5% huku mafisadi wa CCM wakitafuna 95% iliyosalia?

Hueleweki naona bado kama dk 5 upoteze fahamu!
 
Usiropoke dogo, Jamaica unawaza ni Bembea ile?Tatizo la kushinda baa, hujui hata infrustructure za nchi nyingine ambazo ili ufike eneo fulani la milimani lazima upande zile lift sasa wewe kwa akili yako ndogo unawaza ni bembea tembea uone usikalie kula sembe na viazi wewe!

mbona hueleweki mkuu,ni kama kuku kachinjwa nusu halafu kaponyoka
 
Naona vipanga mnashirikiana kusimamia shoo! Teh teh teh eti mnahasira na JK bora mkalime mashamba!

Wewe naona akili zako ni finyu sana,badala kujiita jina hilo ungejiita Mama Salima junior.Wewe unaviashria vyote vya kuwa small house ya huyu bwana....Matendo yake yote wewe bado unaona poa tu?
 
Huyu ni kama yule malaria sugu wakati wa ubora wake.

umeona eeh? kuna watu humu wanajitoa akili kuwashabikia mafisadi utadhani vichwa vyao vimejaa konokono badala ya ubongo. watahangaika sana kuwashobokea mafisadi lakini mwisho wa siku wataambulia patupu.
 
Kinjekitile junior Wewe una agenda yako ni kutukana rais au una nyingine mara Ndorobooo mara nini unatokwa povu tu unawaza maharage kilo sh. 350 unawaza nchi yako ni kisiwa, miaka 10 iliyopita sio sasa bei ya mwaka 2005 haiwezi kuwa refrected leo lazima mabadiliko yawepo acha ujuha wewe mwenyewe umeongezeka kimo kama sio umezeeka! Unashangaa nini mabadiliko ya uchumi![

Refrected= sijui hapo ulikuwa unamaanisha nini? tumia kiswahili tu au kama umejifunza kiarabu ukakielewa nayo si mbaya. inaonekana wanaomtete pia hata uwezo wao mdogo we kinjekitile njaa. unatetea hujui hata unachotetea. angalia asilimia ya kupanda kwa bidhaa kipind cha mkapa maharage toka tsh 350 mpaka 550 ndani ya miaka 10 ambayo kuna tofauti ya tsh 200 .na linganisha na hiyo tsh 550 mpaka 2300 ndani ya kiongozi huyu ndani ya miaka 100 ambayo kuna tofauti ya tsh 1750 . hujui hata hesabu. huoni kuwa hili ni janga la taifa? hivi hata wanaomtetea pia nao wanakuwa vilaza? maana inaonekana yeye ana washauri wabaya,ana mawaziri wabaya,anawateteaji wabaya/vilaza... then how can he be smart? ndege wa rangi moja huruka pamoja. ukiwa unafanya mambo ya kijinga halaf ukaulizwa ukasema ni rafiki zako wanakushauri au wanakushawishi wewe unakuwa si mjinga bali MPUMBAVU. sasa tujitahidi angalau kuficha upumbavu wetu.
miaka 10 ya kupoteza ipite tutafute Rais wa kufaa this term tuache kufanya ujinga wa kipindi kile na ambao gharama yake tumeiona.Elimu imeshuka,uchumi umeshuka, kumebaki hotuba za vijembe.majungu na unafiki ambao ni tamaduni za watu wa huku kwetu. NI AIBU KUTETEA MADUDU YALIYOPO ni lazima uwe na akili za hovyo kama za nguruwe au mbwa koko. ukiwa na akili nzuri sharp na imara kama ya simba huwezi.utajisikia aibu tu .

Mimi nawashauri kama angalau mna uwezo mdogo wa upambanua angalau kama mna uwezo wa kuwa na common sense mngeacha kutetea uozo huu kwa ujira mdogo/itikadi zenu ambazo hazisaidii Watanzania. wakati mwingne ni aibu hata kusema mimi Mtanzania. angalieni Bajeti ya kenya ni mara mbili zaidi yetu. na bado sisi tunategemea kuomba omba ktk bajeti yetu na...anyway mkuu aliwahi kusema "ukitaka kula lazima nawe uliwe" sasa hatujui kwa kiasi gani ameliwa.tumeliwa,wameliwa. ni aibu, huwezi kuwa na akili nzuri umeoa halafu unapitisha bakuli kuomba omba chakula kwa ajili ya familia yako. kwan ulilazimishwa kuoa?kuoa kama hujawa nauwezo si jambo la lazima sana. so watu wanataka uongozi wakati hawana uwezo vichwa vya panzi.
mnaotetea haya mngeanyamaza tu mumwahe mh prof rais amalize tu mambo yake then apumzike maana najua atakuwa amechoka kwa jinsi ambavyo amezunguka dunia nzima. apewe muda wa kumpumzika nanyi mnapomtetea mnazidi kumpaka uchafu.mwacheni. acheni sasa mimi ndo nimtetee. RAIS amezungukwa na wahsuri wabaya hivyo ndo maana mambo yake yote yapo hovyo hovyo, rais anawatu wanaofikria kwa niaba yake vibaya,rais hapati muda wa kuwaza mambo ya msingi maana muda wote anakuwa yupo safarini,.....hapo je? si nmemtetea vizuri kuliko nyie vilaza?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom