na zile fedha zetu alizochukua kutoka kwa wezi wa EPA ziko wapi? mbona unahemka kama kuku anayetafuta kiota cha kutagia?
We mwehu sana huna akili, sasa unadhani JK anajipangia tu safari? Ofisi ndo inaratibu hayo yote, na anaenda kwa manufaa ya wewe na tumbo lako achaga wehu au viroba vinakusumbua na bangi? Imagine angekuwa baba yako ungeandika huo ujinga wako hapa? Think twice b4 you do.
Fedha za EPA zilizorejeshwa zilitumika kwa pembejeo za kilimo. Uliza wakulima acha kuropoka. Halafu wewe na wenzio inaonekana humfatilii masuala hadi yakafikia mwisho. Pia kesi za watuhumiwa wa EPA nyingine bado ziko mahakamani na hilo tumlaumu Kikwete? Safari nyingi alizofanya ni za kikazi na kiuongozi. Sasa ulitaka akutume wewe au shangazi yako!!!
We ovyo sana huna akili, sasa unadhani JK anajipangia tu safari? Ofisi ndo inaratibu hayo yote, na anaenda kwa manufaa ya wewe na tumbo lako achaga wehu au viroba vinakusumbua na bangi? Imagine angekuwa baba yako ungeandika huo ujinga wako hapa? Think twice b4 you do.
Wewe ni ovyo kabisa, Safari anapangiwa na ofisi? Mbona unatokwa namapovu? Kavuruga uchumi afu unataka tumsifie? Dollar tunawakalibia Uganda: Mimi nakumbuka Mkapa aliingia madarakani 1995 maharage kilo ilikuwa sh. 350 na alipoondoka 2005 kilo ilikuwa sh. 550. Leo maharage 2300 kuwa tu mkweli. Akiondoka magogoni tutayasikia mengi.
Watanzania bwana ngoja muone mtamchagua mwingine ambaye mtaanza kumsifia jk hahaha
Kesi zao ziko mahakamani. Judiciary kama ina tatizo tuikosoe yenyewe na sio Kikwetu. Tuwe wakweli.Waliokwapua hizo pesa wamechukuliwa hatua stahiki?...
Au walikuwa sawa kuiba na kuambiwa wachukue hizo pesa?...
Na safari hizo unafahamu zimeingiza trillioni ngapi maana usiwe unabase upande mmoja tu. Hivi unafahamu barabara nyingi zinazojengwa na zilizojengwa ni matokeo ya ziara za Mhe. Rais?Ww ndio huna akili. Wenzie wote wamekuwa na budget ya kusafiri ya Mwaka Bilioni 15. Yeye kakata bilioni 15 miezi 6 tu, na sasa budget ya safari za Rais imeongeka hadi bilioni 50 kutoka 15 kwa sababu ya JK tu!!
Ilifikia kipindi washikaji nao wakaona ni bora wapige bilioni 2!!
Hakika hizo safari ni nyingi mno na rekodi ya kushangaza dunia. rais wa nchi maskini anakua nje ya nchi karibu asilimia 40 ya siku alizokua madarakani eti yuko safarini kuomba misaada.Jay Milionea ungekaa kimya wala watu wasingekujua ulivyo. unaona sasa watu wote wenye akili wameshakujua ukoje. aahh sometme kablsa hujapost kitu uwe unauliza ndugu yangu. safari za Kikwete hazijawah kuwa na manufaa.. utakuwa mpumbavu kufurahia baba yako halimi ila anashinda kuomba omba kwa watu na akirudi unamshabikia kuwa anaenda kutembeza bakuli. we utakuwa una mtindio wa ubongo. safai zake ni gharama kwa taifa. afanye utalii wa ndani aache wa nje.
na zile fedha zetu alizochukua kutoka kwa wezi wa EPA ziko wapi? mbona unahemka kama kuku anayetafuta kiota cha kutagia?
Fedha za EPA zilizorejeshwa zilitumika kwa pembejeo za kilimo. Uliza wakulima acha kuropoka. Halafu wewe na wenzio inaonekana humfatilii masuala hadi yakafikia mwisho. Pia kesi za watuhumiwa wa EPA nyingine bado ziko mahakamani na hilo tumlaumu Kikwete? Safari nyingi alizofanya ni za kikazi na kiuongozi. Sasa ulitaka akutume wewe au shangazi yako!!!
Na safari hizo unafahamu zimeingiza trillioni ngapi maana usiwe unabase upande mmoja tu. Hivi unafahamu barabara nyingi zinazojengwa na zilizojengwa ni matokeo ya ziara za Mhe. Rais? Bandar kubwa Afrika kujengwa Bagamoyo ni matokeo ya ziara ya Rais. Na mengine mengi nashindwa kukueleza kwa maana unaweza kushiba takwimu na kuunza kutubu na kufuta usemi.
Kesi zao ziko mahakamani. Judiciary kama ina tatizo tuikosoe yenyewe na sio Kikwetu. Tuwe wakweli.
Ulitaka aje akuwekee kwenye sidiria ndio ujue fedha zimerudishwa?