Rekodi za uongozi wa Rais Kikwete hizi hapa

Rekodi za uongozi wa Rais Kikwete hizi hapa

We mwehu sana huna akili, sasa unadhani JK anajipangia tu safari? Ofisi ndo inaratibu hayo yote, na anaenda kwa manufaa ya wewe na tumbo lako achaga wehu au viroba vinakusumbua na bangi? Imagine angekuwa baba yako ungeandika huo ujinga wako hapa? Think twice b4 you do.

Yaani ulivyokurupuka mzee, utafkiri umekamatwa ubayani. Yaani katika point zote alizoandika mtoa mada we umeona hiyo moja tu ya safari za nje?
Hizo za ufisadi hujaziona wala?

Au hauna interest nazo kama ulivyo na interest na hii ya safari?

Ungekuja na majibu ya moja baada ya nyingine tungekuelewa vizuri sana ila kwa hii, kajipange mzazi urudi tena. Hoja juu ya hoja.
Mpaka mwisho
 
mimi sifundishi DARASA nafundisha JUKWAA na watu binafsi kama wewe na darasa langu lipo kila sehemu kila saa kuelimisha watu wa namna yako. Mabadiliko ya uchumi haya yanaathiri zaid TZ tu? huu si ndo uvibu wa kufikiri? na hapo hakuna nlipotukana. ukinonesha neno moja ambalo ni tusi naomba ADMIN wanifungie siku 3. ikiwa utanionesha kuwa ni tusi na wadau wengine wenye uelewa wakakiri nmetukana ntaomba radhi na ntaomba nipewe adhabu. mafanikio ya kikwete ni kuwa nchi imeweza kujulikana dunia nzima kupitia yeye kwa kuwa akiwa huko anajitambulisha yeye ni rais wa tanzania. mafanikio mengine tumeweza KUUA TEMBO WENGI sana kuuuza meno ya TEMBO NCHI ZA NJE , mengine ni kuwa sasa TUNAFAHIKA SANA CHINA KWA KUUZA MADAWA YA KULEVYA NDANI YA HII MIAKA 10. Haya yote ni mafanikio na kutangaza nchi. leta swali au hoja nyingine. NA YALE MAJINA YA WAUZA MADAWA NA WAUAJI/MAJANGIRI MHESHIMIWA ATATUTAJIA LINI? au alipoteza list? HAYO PIA NI MAFANIKIO.
Si wanadai katibu Wa chama cha masela naye jangili
 
tpaul

Umemaliza? au tukusaidie?

bado sijamaliza. labda kama kuna ufisadi mpya mliofanya naomba unitonye. ufisadi wa magamba hauna mwisho na daima tutaendelea kukemea vitendo vya kifisadi vya CCM mpaka kieleweke.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna rais ambaye amewahi kubembeleza wezi warudishe mali ya wizi. Labda wewe ukiwa rais wa mtaa ndo utafanya hivyo lakini Rais Kikwete hajafanya hivyo na hatafanya hivyo. Tuliza ubongo wako fanya kazi na si ajabu hata leo hujui utakula nini maskini ndugu yangu

du, hivi haya maneno unayatafakari kwa kutumia kichwa au makalio? kweli wewe ni mwehu muokota makopo!
 
bado sijamaliza. labda kama kuna ufisadi mpya mliofanya naomba unitonye. ufisadi wa magamba hauna mwisho na daima tutaendelea kukemea vitendo vya kifisadi vya CCM mpaka kieleweke.

Haya wakati unafikiria mengine, hebu tueleze ni nini maana ya EPA?
 
We mwehu sana huna akili, sasa unadhani JK anajipangia tu safari? Ofisi ndo inaratibu hayo yote, na anaenda kwa manufaa ya wewe na tumbo lako achaga wehu au viroba vinakusumbua na bangi? Imagine angekuwa baba yako ungeandika huo ujinga wako hapa? Think twice b4 you do.

Raisi anapangiwa safari amekuwa mototo mchanga wa kuvalishwa pampas? Acha uchulo, safari zisizo za maana kwanini hakatai?
 
Raisi anapangiwa safari amekuwa mototo mchanga wa kuvalishwa pampas? Acha uchulo, safari zisizo za maana kwanini hakatai?

kama hukubali kila ujinga anaopangiwa na wasaidizi wake basi atakuwa mtoto mdogo kama Kardinali Pengo anayevaa pampers (by Nabii Gwajima).
 
We mwehu sana huna akili, sasa unadhani JK anajipangia tu safari? Ofisi ndo inaratibu hayo yote, na anaenda kwa manufaa ya wewe na tumbo lako achaga wehu au viroba vinakusumbua na bangi? Imagine angekuwa baba yako ungeandika huo ujinga wako hapa? Think twice b4 you do.

hakika akili zako sawa na jay millionare bora yeye kaandika ujinga,wewe umeandika utahira kabisa!
 
Kama ni kupanga kwann awe na safari nyingi kushinda rais yeyote aliyepita?

hili ndilo swali linalopaswa kujibiwa na misukule wa CCM lakini wamekazana kulikwepa huku wakituletea hadithi za alfulelaula ambazo hazina tija kwa ustawi wa watanzania.
 
Last edited by a moderator:
We mwehu sana huna akili, sasa unadhani JK anajipangia tu safari? Ofisi ndo inaratibu hayo yote, na anaenda kwa manufaa ya wewe na tumbo lako achaga wehu au viroba vinakusumbua na bangi? Imagine angekuwa baba yako ungeandika huo ujinga wako hapa? Think twice b4 you do.

Anatumia hela za kodi zetu, safari anajipangia yeye kwani nani anampangia? anaenda beach Hawaii so what? acha uzumbukuku, huyo JK wao amechemsha kupita maelezo hata mimi ningekuwa rais bora kuliko yeye eboo msitufanye wapumbavu kwa kutetea upumbavu
 
Wakati Rais Kikwete akikaribia kumaliza ngwe yake uongozi, ni vema tukajikumbusha rekodi mbalimbali alizoweka na ambazo zimetia fora katika kipindi chake cha uongozi wa miaka 10:

1. EPA: Amekuwa ni rais wa kwanza duniani kuwaomba wezi wa mali za umma warejeshe fedha walizoiba na kisha akaachia huru bila SHURUTI. Na mpaka sasa hakuna mtanzania hata 1 anayewafahamu wezi hao wala kiasi cha fedha walizomrejeshea JK na fedha hizo ziko wapi! Ni JK na familia yake pekee wanaofahamu fedha zilizorejeshwa wamezitumiaje. Kwa hili, JK amedhihirisha sio tu kwamba ni rais wa kipekee hapa duniani, bali ni rais wa kupigiwa mfano kwa maamuzi magumu ya kitaifa.

2. UTALII: Rais JK ameweka rekodi ya kuwa rais aliyesafiri sana nje ya nchi hata kwa safari ndogo ambazo hazina tija kwa taifa na mara zote amekuwa akiandamana na mamia ya wapambe. Jumla ya safari zake zinakadiriwa kugharimu zaidi ya bajeti ya serikali.

3.UFISADI: Katika uongozi wake, vitendo vya kifisadi vimeongezeka mara dufu ukilinganisha na watangulizi wake.

4..

JK Ni raisi pekee aliyeruhusu kusemwa na kusimangwa kiasi hikii...
 
JK Ni raisi pekee aliyeruhusu kusemwa na kusimangwa kiasi hikii...

KUSIMANGWA au KUAMBIWA UKWELI? kwani hizo rekodi si amejiwekea yeye mwenyewe, alitumwa? acha ukilaza mkuu.
 
Back
Top Bottom