Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Hata ile ya kwenda kutembelea Kiwanda cha ndege Boeing wakati hatuna baiskeli. Huko nako alipangiwa?
Mkapa alikuwa hapangiwi kiasi hicho. Hayo ni matakwa yake. Si lazima kukubali kila mualiko!
Msubiri Rais wako wa UKAWA mwaka 2070 ataishia Karatu tu!