Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

Mbona dukani unga bado elfu 1?wafanyabiashara wa tanzania hawajitambui
Unajua maana kilimo biashara? fanya zoezi dogo tu
Nenda kakodi shamba, kisha lima mahindi ukishavuna uza gunia moja kwa 20,000. Ukishindwa fanya hili.
Panda gari nenda huko wanapouza gunia moja elfu 20,000 kisha nunua utakayo. Ukishafika nyumbani yapeleke mashineni. Baada ya hapo anza kuuza unga kilo moja kwa 200/500.
N.B
Ukiweza chaguo mojawapo. nakuja kununua magunia yote.
Km utashindwa fikiria ulichoandika. Je, kiko sahihi?
 
Tafiti za kina hazifanyiki, za zamani zipo kwenye mafaili, wanasiasa wanatoa maamuzi. Vurugu kila jambo.
 
Namuonea huruma Sumry aliyeuza mabasi akaamua kulima mahindi asije akajikuta ananunua bodaboda na bajaji badala ya mabasi.
 
Nenda South Sudan uone mazao yanavyoozea mabarabarani na mashambani kwa ukosefu wa barabara za lami, barabara zote ni tope tupu, yaani mtu akifanikiwa kufikisha tenga la nyanya mjini anashukuru,na anauza bei mara 100 ya bei aliyochukulia kwa mkulima sokoni, be serious, huoni uhusiano wa barabara bora na kushuka kwa bei ya mazao?

huo uhusiano si kigezo cha kuwakataz kuuza kwenye soko walilolipata as if kule wanakopeleka barabara haipitiki, ni sehemu gani huko kenya watanzania hawawezi fika kwa sababu na mazao yao kwa sababu ya barabara mbovu. kuwa serious na kile kinachowfesi wakulima kwa muda huu.

tusubiri hadi mumalize kujenga hizo barabara ndo tuuze mazazo yetu acha utani.

basi tufanye kweli kwenda kenya barabara zinatope na hazipitiki kama huko sudani. serikali imeynunua hayo mahindi ikayaweka kwenye ghala la taifa ili kuwafanya wakulima wafikie hata ile break even kwa kile walichokiweka shambani wakati wa kulima au porojo tu kama unavofanya hapa mifano mingi bila vitendo, tushawazoea wasukuma.
 
Mkuuu acha Uzushi na upotoshaji. Niko Sumbawanga Mahindi ndoo kubwa ni Tshs. 7000/= na Gunia ni Tshs 40,000/= Mjini na Tshs 35,000/= Vijijin. Naishi kwa Bidhaa za Mahindi lkn unachoeneza si kizuri kwa mte mwelevu wa hadhi yako lkn pia tambua unapeleka ujumbe usio sahihi kwa wateja wetu.
 
Mkuuu acha Uzushi na upotoshaji. Niko Sumbawanga Mahindi ndoo kubwa ni Tshs. 7000/= na Gunia ni Tshs 40,000/= Mjini na Tshs 35,000/= Vijijin. Naishi kwa Bidhaa za Mahindi lkn unachoeneza si kizuri kwa mte mwelevu wa hadhi yako lkn pia tambua unapeleka ujumbe usio sahihi kwa wateja wetu.

tutaaminije kuwa wewe huenezi uongo kama unavomsema huyu mleta mada?
 
Sioni tatizo, serikali inapaswa sasa inunue mahindi ya kutosha, magari ya jeshi yatumike kusambaza mahindi nchi nzima.

Chakula isiwe kitu tena kwa Mtanzania ,tufikirie mambo mengine ya maendeleo. Maana sasa naamini hata chakula cha kuku kitashuka bei kutokana na Pumba kupatikana kwa wingi.

Kuku watashuka bei ,afya itaboreka safi saana
 
tutaaminije kuwa wewe huenezi uongo kama unavomsema huyu mleta mada?[/QUOTE
Mtumie elf 20 akuletee gunia la mahindi mkuu ili upunguze hasira. Lkn kama anayo ya bei hiyo mwambie anipm nichukue tani kadhaaa. Thanks na pole kwa maandamo ya kwenye media mkuu
 
Ila huoni kwamba masikini sasa wana uhakika wa kupata walau milo miwili kwa siku? Bei ya unga ingepanda pia ungelaumu serikali kwamba mnakufa njaa, bei ya mahindi na unga inashuka pia mnalia, mnataka nini nyinyi kasuku?
katika nchi hii sidhani kama juna masikini mkubwa kans mkulima mdogo...hilo nalo umelifikiria.
 
Ikipanda walalamika ikishuka walalamika!! Dah nyumbu buana??
kinachoongelewa sio kupanda na kushuka, je mkulima ameweza kurudisha pesa yake aliyofukika ardhini kama ni hapana kwa nini ndo unakuta eti serikali imekataza wakulima wasirudishe hizo gharama je itamsaidiaje ili zirudi hakuna anaejua hata serikali pia haijui, je serikali imehusika kwa namna moja ama nyingine kutoa pembejeo za ruzuku jibu ni hapana kumbe labda ndo sababu inaona raha tu maana yenyewe haina hasara kwa namna yeyote ile.

kama unataka kuelewa utakuwa umeelewa.
 
Kama una namba za wakulima tupe namba mkuu tununue.
Serious!
Hata mimi nataka niko tayari kununua gunia mia moja chap chap no longolongo kwa hiyo bei ya elfu 20 weka namba za hao wanaouza kwa bei hiyo
 
Back
Top Bottom