Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

Nafikiri ubunifu ni muhimu watu walivyotutesa kwa unga 2500/- wakaona wote walime mahindi wakijua watakuwa mamilionea wacha tufurahie maisha tunarudisha tulizopoteza. Tatizo letu sisi ukisikia kitu flani kinalipa woote tunahamia yametokea kwenye nyanya sasa mahindi vingine kama mchele umebakia constant nguvu zote zilielekezwa kwenye mahindi. Poleni wakulima walaji tulilia sana kutesa kwa zamu
 
Ila huoni kwamba masikini sasa wana uhakika wa kupata walau milo miwili kwa siku? Bei ya unga ingepanda pia ungelaumu serikali kwamba mnakufa njaa, bei ya mahindi na unga inashuka pia mnalia, mnataka nini nyinyi kasuku?
Vipi yule wakulima walio wekeza muda na rasilimali nyingi kwenye kuzalisha hayo mahindi huoni kama wanapata hasara? Haujafikir kama kuna watu walikopa benki ili walime mhind wapate faida? huoni kama hili ni pigo kubwa kwao?... Gharma ya ujinga ni kubwa kuliko gharama ya elimu....bastard
 
Imeshakuwa kila Mtanzania ni mtoa takwimu za taifa (msemaji mkuu wa serikali) na kuuaminisha umma kuwa takwimu zake ndizo za kweli!!!!
Matokeo yake ni nchi kuwa na ombwe la waropokaji na malimbukeni kila kona ya nchi. Mmeshayaona matokeo yake sasa??

Kila mmoja asimame katika nafasi yake na atekeleze wajibu wake effectively na siyo kudandiadandia majukumu ya mwingine! Tukifanya hivi ndani ya nchi hatutakuwa na mivurugano ya ovyo na kelele zisizokuwa na kichwa wala miguu na za kipuuzi kiasi hiki.
Tujifunzeni kuheshimiana na kujadiliana kwa nidhamu kama ndugu na wana familia moja ya Tanzania.
Njaa za kutaka madaraka hata nafasi zimejaa na kutaka umaarufu kwa njia za kurubuni na kulaghai/kupotosha umma ni ushamba/uchawi/uuaji kabisa.

mimi siku hizi naamini za watu wengine kwa 100% kuliko msemaji wako serikali yake sijui kwa nini tu...?? labda serikali hii itoke madarakani.

msemaji hana taarifa sahihi kila kitu usani tu porojo.
 
Vipi yule wakulima walio wekeza muda na rasilimali nyingi kwenye kuzalisha hayo mahindi huoni kama wanapata hasara? Haujafikir kama kuna watu walikopa benki ili walime mhind wapate faida? huoni kama hili ni pigo kubwa kwao?... Gharma ya ujinga ni kubwa kuliko gharama ya elimu....bastard
huyu sijui kama atakuelewa!
 
Nafikiri ubunifu ni muhimu watu walivyotutesa kwa unga 2500/- wakaona wote walime mahindi wakijua watakuwa mamilionea wacha tufurahie maisha tunarudisha tulizopoteza. Tatizo letu sisi ukisikia kitu flani kinalipa woote tunahamia yametokea kwenye nyanya sasa mahindi vingine kama mchele umebakia constant nguvu zote zilielekezwa kwenye mahindi. Poleni wakulima walaji tulilia sana kutesa kwa zamu
Hiyo inaitwa speculative bubble burst. Watu wamelima kwa mzuka baada ya kuona mwaka jana yalipanda bei.
 
Hii ni record mpya kuwahi kushuhudiwa Tanzania. Kwa mara ya kwanza gunia mahindi linauzwa kati ya Shilingi 20,000 hadi 27,000 kutegemea na eneo husika. Tanga gunia ni Tsh 25,000/- Mbeya 25,000/-, Sumbawanga na Rukwa 20,000.

Wachambuzi wa mambo wanasema Tanzania ilikataa kuuzia Kenya mahindi mwaka jana, Kenya wakaamua kuchukua mahindi nje ya bara la Africa hivyo soko soko la Africa Mashariki likajikuta limejaa mahindi kutoka bara la America ya kusini. Baada ya wakulima kulia sana Tanzania ikafungua mipaka lakini ikawa too late. Wakulima wanalia, walioweka mahindi Godown wanalia kwa hasara ambayo haijawahi kushuhudiwa. Kila mtu anaisoma namba kwa wakati wake
Kwa walaji tunasema safi kabisa!! Lakini ulipokuwepo ukosefu wa mahindi na bei ikawa juu mlikuwa mnapiga kelele ile mbaya kwamba serikali imeshindwa kama sasa mnavyopiga kelele sukari kuwa bei kubwa ikishuka tena baada ya kiwanda cha serikali kinachojengwa Morogoro mtakuja tena na mapovu!! Binadamu bwana shida tupu!!
 
mimi siku hizi naamini za watu wengine kwa 100% kuliko msemaji wako serikali yake sijui kwa nini tu...?? labda serikali hii itoke madarakani.

msemaji hana taarifa sahihi kila kitu usani tu porojo.
Siku tutakapokuwa na bunge imara (lenye uwiano sawa wa wawakilishi kutokana na vyama kutoka pande mbili kinzani) ndo usimamizi wa serikali utakuwa imara na makini zaidi kuliko hapa tulipo sasa hivi.

Kwa hyo hawa wapinzani wangeelekeza nguvu zao zote kwanza kwenye kuongeza idadi ya wawakilishi ndani ya bunge. Bunge imara ndo litakuwa na nafasi nzuri wa kuisimamia vizuri serikali katika kila jambo, kwa sasa wataishia kupiga makelele tu na hawatafanikiwa lolote zaidi ya kuwafanya wenzao wawe imara zaidi kimikakati na kimipango ya kuwanyamazisha na hatimaye kuwamaliza kabisa kwa ushindi mkubwa katika kila chaguzi.
 
Chakula kikiwa bei nafuu mnakasirika badala ya kufurahi. Kweli nyie ziro kabisa. Kwa taarifa yenu wakulima wadogo wadogo ambao ni wengi wanalima mazao ya chakula kwa ajili ya matumizi binafsi na siyo kuuza.

Sawa je vipi kuhusu kwalio lima kwa ajili ya kuuza?
Upo sahihi kwamba bei chakula imeshuka inabidi tufulahi lakini je umejiuliza yatakayomkuta aliyelima na je mwakan ataweza kulima?


kwa faida yako tambua bei inaposhuka sana hata serikari huwa haifulahi na hujitahidi kuipandisha(artificial scarcity) maana wanajua wasipomlinda mzalishaji italeta madhala katika uchumiuchumi na inapopanda sana huingilia ili kumlinda mtumiaji maana watumiaji wakisusia bidhaa uchumi hutikisika kwakuwa secta ya uzalishaji hudhoofu.....


SERIKARI INABIDI IANGALIE NAMNA YA KUSAIDIA WAZALISHAJI WA MAHINDI KATIKA HILI VINGINEVO WATU WATAACHA KILIMO CHA MAHINDI NA KUHAMIA KATIKA VILIMO VYA BIASHARA JAMBO AMBALO LITAKUJA KUFANYA BEI YA MAHINDI KUWA KUBWA KULIKO NA HATIMAE TUTAGEUKA KUWA IMPORTER COUNTRY WA ZAO TULILOZOEA KUWA EXPORTER COUNTRY

NB:huku Iringa(vijiji vya pawaga,luganga,kiwele,mfyome nk) hali mbaya sana gumia limefikia 35k na bado inazidi kushuka na ikumbukwe msimu wa mavuno unakalbia
 
Hii ni record mpya kuwahi kushuhudiwa Tanzania. Kwa mara ya kwanza gunia mahindi linauzwa kati ya Shilingi 20,000 hadi 27,000 kutegemea na eneo husika. Tanga gunia ni Tsh 25,000/- Mbeya 25,000/-, Sumbawanga na Rukwa 20,000.

Wachambuzi wa mambo wanasema Tanzania ilikataa kuuzia Kenya mahindi mwaka jana, Kenya wakaamua kuchukua mahindi nje ya bara la Africa hivyo soko soko la Africa Mashariki likajikuta limejaa mahindi kutoka bara la America ya kusini. Baada ya wakulima kulia sana Tanzania ikafungua mipaka lakini ikawa too late. Wakulima wanalia, walioweka mahindi Godown wanalia kwa hasara ambayo haijawahi kushuhudiwa. Kila mtu anaisoma namba kwa wakati wake
Ajira pekee iliyosalia nchini Tanzania ya jembe nayo chali miguu juu !
 
aisee, hadi wewe huelewi?

-soko ni huria wamevuna mazao yakawa mengi lakini jirani zetu wana bei nzuri wakaambiwa msiyauze huko, yakarudishwa ndani(Tz) yakaendelea kuwa mengi nini kitatokea( supply & demand principle) itumie halafu utapata majibu ili kujua serikali ndo imewapngia bei ya hasara!
Mkuu mimi nayaelewa haya mambo vizuri sana. Tatizo la Tz midlemen ni wengi sana na ndio wapiga kelele wakubwa sana kuliko hata wakulima wenyewe. Middlemen kazi yao ni kununua kwa bei ya kinyonyaji kwa wakulima kisha wanafungia ndani ili kutengeza scarcity ili wauze bei juu. Mwaka huu speculative bubble imetokea maana watu walinunua mahindi kwa hasira wakitegemea kupata utajiri wa mwaka jana lkn matokeo yake msimu wa kuuza wamejikuta wote wanauza kwa mpigo na kwakuwa msimu uliopita mavuno yalikuwa mazuri, mazao yamefurika mtaani. This time ni zamu ya walaji kuenjoy maisha sasa. Hiyo ndio analysis yangu fupi mkuu.
 
We jamaa kama ungekua ni kompyuta basi utakua ni Pentium 1, nilichosema ni kwamba serikali inahusika moja kwa moja katika kusaidia mahindi yazalishwe kwa wingi na pia kusaidia bei ishuke, na nikataja hatua mbali mbali inazofanya ikiwemo ujenzi wa barabara ili kufanikisha usafirishaji wa mazao kwenda sokoni kwa urahisi; sasa ulichojibu hapa hata sijui ni nini
Unaandika sana huku ni pumba.Kama serikali yatumia pesa iliyokusudiwa kwa ruzuku kujengea barabara,Kodi wanazolipa wananchi zinafanya kazi gani?Serikali inatakiwa itoe ruzuku kwa wakulima ili wasipate hasara na kukatishwa tamaa kuendelea kuzalisha chakula!
 
Mbona dukani unga bado elfu 1?wafanyabiashara wa tanzania hawajitambui
 
hoja yako nyepesi sana, ingeendelea kujenga miundo mbinu bila kuwazuia kufata soko lenye faida hiyo miundo mbinu isingekamilika. hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ujenzi na mazao yao ambayo soko walikuwa wameshalipata.

sidhani kama wakulima wakulima walishindwa kupeleka mazao yao sokoni ndo serikali yako ikazuia wasipeleke.
kwa hoja yako serikali inafanya mchakato wa kuwatafutia soko pale tu barabara itakapokamilika kitu ambacho ni uongo wa juu.
Nenda South Sudan uone mazao yanavyoozea mabarabarani na mashambani kwa ukosefu wa barabara za lami, barabara zote ni tope tupu, yaani mtu akifanikiwa kufikisha tenga la nyanya mjini anashukuru,na anauza bei mara 100 ya bei aliyochukulia kwa mkulima sokoni, be serious, huoni uhusiano wa barabara bora na kushuka kwa bei ya mazao?
 
Mkuu mimi nayaelewa haya mambo vizuri sana. Tatizo la Tz midlemen ni wengi sana na ndio wapiga kelele wakubwa sana kuliko hata wakulima wenyewe. Middlemen kazi yao ni kununua kwa bei ya kinyonyaji kwa wakulima kisha wanafungia ndani ili kutengeza scarcity ili wauze bei juu. Mwaka huu speculative bubble imetokea maana watu walinunua mahindi kwa hasira wakitegemea kupata utajiri wa mwaka jana lkn matokeo yake msimu wa kuuza wamejikuta wote wanauza kwa mpigo na kwakuwa msimu uliopita mavuno yalikuwa mazuri, mazao yamefurika mtaani. This time ni zamu ya walaji kuenjoy maisha sasa. Hiyo ndio analysis yangu fupi mkuu.[/QUOTE
Mahindi tunayoyaongelea hapa ni ya wakulima .Mpaka sasa ziko chini na zinaendelea kushuka.Msimu mwingine wa kilimo umeshafika wakati chakula cha msimu uliopita wanacho ndani!
 
Hapa inayotusumbua ni Exposure, watanzania wengi hatuna Exposure na tunaishi kwa Itikadi Kali sema tumekosa mabomu tu.... katika Nchi yeyote suala la chakula halitakiwi kuwa na Gharama hata kidogo ili kila mtu aweze kupata hitaji hili la Muhimu... Mimi nimewahi Kaa Uswisi yaani bei za vyakula siyo kubwa kabisa na watu wanaishi kwa furaha. Sasa mnataka mahindi yaende nje halafu mwezi WA saba watu waanze kulia Njaa.... Wewe kama umelima na unaona umepata hasara acha kulima lakini mwenye Busara hawezi. Na yanatakiwa yashuke zaidi, bado Mchele.... Mazao ambayo wanatakiwa kusafirisha ni ya Biashara siyo chakula.... Acheni mambo ya Ajabu ajabu hapa sasa hivi hata mlala hoi anayelipwa Elfu tano kutwa ataweza kuishi
Mkuu naomba ulime. Mm nakuja kununua gunia zote ulizovuna kwa bei 20,000 kwa kila gunia.
Ukiwa tayari naomba tuwasiliane
 
Ila huoni kwamba masikini sasa wana uhakika wa kupata walau milo miwili kwa siku? Bei ya unga ingepanda pia ungelaumu serikali kwamba mnakufa njaa, bei ya mahindi na unga inashuka pia mnalia, mnataka nini nyinyi kasuku?
.... Very poor argument...asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na wanategemea kuuza mazao yao ili kuendesha maisha. Sasa ikiwa last season kavuna gunia 50 za mahindi, ambapo production costs per gunia ni around 25000 unategemea msimu huu ataweza kurudi shamba kweli?
 
Vipi yule wakulima walio wekeza muda na rasilimali nyingi kwenye kuzalisha hayo mahindi huoni kama wanapata hasara? Haujafikir kama kuna watu walikopa benki ili walime mhind wapate faida? huoni kama hili ni pigo kubwa kwao?... Gharma ya ujinga ni kubwa kuliko gharama ya elimu....bastard
1.) KIlimo ni biashara?
2.) Nini definition ya biashara?
Ukishajibu jitukane mwenyewe
 
Back
Top Bottom