Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

Kama yameruhusiwa yatapata soko tuu. Mahindi yanayolimwa kwenye ardhi ya frika mashariki yana ladha nzuri sana . Hayo ya bara la amerika ni testless
 
Ila huoni kwamba masikini sasa wana uhakika wa kupata walau milo miwili kwa siku? Bei ya unga ingepanda pia ungelaumu serikali kwamba mnakufa njaa, bei ya mahindi na unga inashuka pia mnalia, mnataka nini nyinyi kasuku?
Uhakika wa kupata lishe kwa kumuumiza mkulima? Yani mkulima masikini wa mwisho kijijini auze mahindi kwa hasara ili wewe upate milo mitatu?

halafu 80% ya tz population ni wakulima unamaanisha hao wote (80%) wazidi kukandamizwa kwenye umasikini ili ww ununue unga 200tsh?

Kilimo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine na kama ishu ni kumnufaisha mlaji bila kujali maslahi ya mzalishaji basi na mfuko wa cement uuzwe 5000, soda100, mafuta Lt 500tsh au ikiwezekana watuwekee bure kwenye magari,
Kama hayo hayawezekani why mkulima?? yeye pia anatumia rasilimali muda,mbolea,nguvu, madawa, usafiri nk kwenye uzalishaji.

Huu ni ubinafsi wa hali ya juu sana!!
 
Sasa serikali inatumia pesa za wakulima kutekeleza malengo yake kiujanjaujanja.Kwanini wasiweke ruzuku kwenye pembejeo ili mkulima azalishe kwa gharama nafuu kuendana na soko?
 
Hii ni record mpya kuwahi kushuhudiwa Tanzania. Kwa mara ya kwanza gunia mahindi linauzwa kati ya Shilingi 20,000 hadi 27,000 kutegemea na eneo husika. Tanga gunia ni Tsh 25,000/- Mbeya 25,000/-, Sumbawanga na Rukwa 20,000.

Wachambuzi wa mambo wanasema Tanzania ilikataa kuuzia Kenya mahindi mwaka jana, Kenya wakaamua kuchukua mahindi nje ya bara la Africa hivyo soko soko la Africa Mashariki likajikuta limejaa mahindi kutoka bara la America ya kusini. Baada ya wakulima kulia sana Tanzania ikafungua mipaka lakini ikawa too late. Wakulima wanalia, walioweka mahindi Godown wanalia kwa hasara ambayo haijawahi kushuhudiwa. Kila mtu anaisoma namba kwa wakati wake
Wewe ni muongo na mzushi!
 
Songea pia ni 20,000 kwa gunia,
Serikari iangalie namna ya kuwasaidia wakulima.
Kama kuna uwezekano wa kufungua masoko ya nje basi ifanye hivyo, ili hata sisi tunaozurula mjini tuvutike kwenda kulima.
Nchii hii ina ardhi kubwa yenye rutuba na maji tele na hii ni fulsa nzuri ya kuinua kipato cha wananchi.
 
Waliozuia kuuza nje wao wanakula vya super market tu.......hii nchi viongozi wamelaaniwa si bure.
Kwahiyo umeumia sana kuona kwamba hadi wale omba omba barabarani sasa wanauwezo wa kuafford walau kununua mahindi wakasaga na kupata unga wa ugali si ndio? Ulitaka mahindi yauzwe 120,000/= kwa gunia ili watu wafe njaa.., kwenda zako huko
 
Chakufanya sasa ni kuyachoma moto yote ili kutengeneza scarcity we all know wanaolima yakutosha kujilisha kwa msimu mzima ni wachache kuliko wanao nunua, otherwise tuzidi kuzisoma namba tu...
Hiyo mtoa mada ni muongo 100% Huwezi kuagiza mahindi kutoka Amerika yakafika Kenya alafu ulauza gunia shilling 20,000!!! Umeyasafirisha kwa kutumia ungo?
 
Back
Top Bottom