Ila huoni kwamba masikini sasa wana uhakika wa kupata walau milo miwili kwa siku? Bei ya unga ingepanda pia ungelaumu serikali kwamba mnakufa njaa, bei ya mahindi na unga inashuka pia mnalia, mnataka nini nyinyi kasuku?
Anazungumzia mahindi yanayolimwa Tanzania, ya south America amedai ni kenya ndio wameagiza baada ya Tanzania kutowauzia.Hiyo mtoa mada ni muongo 100% Huwezi kuagiza mahindi kutoka Amerika yakafika Kenya alafu ulauza gunia shilling 20,000!!! Umeyasafirisha kwa kutumia ungo?
hahahahaHii inafanana na ile ya kuuza nyanya ndoo kubwa buku (1000) pale Dumila
hutupi pole mkuu. hatutarudiaWakulima wanavuna walichopanda baada kumpigia kura CCM . Mtakoma kuamini chama kikongwe.
Utasikia viongozi wetu ''Vijana mjiajiri, kilimo kinalipa'' kwa hela hizi za madafu?Uhakika wa kupata lishe kwa kumuumiza mkulima? Yani mkulima masikini wa mwisho kijijini auze mahindi kwa hasara ili wewe upate milo mitatu?
halafu 80% ya tz population ni wakulima unamaanisha hao wote (80%) wazidi kukandamizwa kwenye umasikini ili ww ununue unga 200tsh?
Kilimo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine na kama ishu ni kumnufaisha mlaji bila kujali maslahi ya mzalishaji basi na mfuko wa cement uuzwe 5000, soda100, mafuta Lt 500tsh au ikiwezekana watuwekee bure kwenye magari,
Kama hayo hayawezekani why mkulima?? yeye pia anatumia rasilimali muda,mbolea,nguvu, madawa, usafiri nk kwenye uzalishaji.
Huu ni ubinafsi wa hali ya juu sana!!
kazi tunayo wakulimaKibaigwa kuna sehemu unampa kuku wawili mtu anakupa gunia moja......
Kwahiyo ushauri wako wewe ulitaka yauzwe nje bila utaratibu ili kutengeneza scarcity nchini halafu yakija kuuzwa 120,000/= kwa gunia uje tena humu jamvini ukirusharusha makalio na kubenua mdomo kuikashifu serikali kwamba masikini wanakufa njaa kwa sababu mahindi na unga ni bei juu, si ndio eeeh?Sijui Nan Huwa Anawashaur Hawa Viongoz Wetu
anazungumzia yale ya kudownload kwenye mtandaoHiyo mtoa mada ni muongo 100% Huwezi kuagiza mahindi kutoka Amerika yakafika Kenya alafu ulauza gunia shilling 20,000!!! Umeyasafirisha kwa kutumia ungo?
Hiyo sahau! Mfanyabiashara atanunua gunia kwa sh. 20,000/= akileta Dsm atakuuzia kilo moja sh. 700/= sawa na sh. 70,000/= kwa gunia (100kgs).Basi unga utashuka mpaka kilo kati ya sh 200 na 300
Kibaigwa ipi nije nichukue gunia kadhaa za kula na familiaKibaigwa kuna sehemu unampa kuku wawili mtu anakupa gunia moja......
Hawa jamaa sijui akili zao zimeporwa. Wanatia hurumaAisee, umefikiri sawa sawa.
production cost per standard bag(100kg) ni Tshs 45,000/= maeneo yaliyo mengi nchini kutokana na hizi gharama hapa chini ndani ya ekari moja.
-kukodi shamba 100,000/=
-kulima 60,000/=
-kupanda 30,000/=
-mbegu 48,000/=(4bags @12,000/=)
-palizi 60,000/=(2 @30,000/=)
-kuvuna 60,000/=
jumla 358,000/=
hapa ekari moja inakadiliwa kutoa (8-10) bags chini ya uangalizi mzuri japokuwa sijaweka gharama za mbolea na madawa.
ukigawa hapo utakuta 1bag ni 44,750/=, sasa njoo kwenye mauzo.
gunia 20,000/=-44,750/=(-24,750/=)
huyu mkulima bado unashangilia aendelee kulima na kuuza kwa bei hiyo halafu unaona raha tu au ndo kunywa maji yaliyofuliwa hizo bendera zenu.
acheni ushabiki usiokuwa na tija. nilifikiri mtu kama wewe uje na ufumbuzi wa kuwasaidia hawa wakulima labda serikali ihimize hawa watu wafanye food processing ili chakula kisiharibike wakingojea soko likae vizuri.
Namkulima unamfikiriaje mkuu naona umebase sehem mojaKwahiyo umeumia sana kuona kwamba hadi wale omba omba barabarani sasa wanauwezo wa kuafford walau kununua mahindi wakasaga na kupata unga wa ugali si ndio? Ulitaka mahindi yauzwe 120,000/= kwa gunia ili watu wafe njaa.., kwenda zako huko
wanatufanya matahila tulioko shambani.Hawa jamaa sijui akili zao zimeporwa. Wanatia huruma