Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

Mkuu, soko ndiyo shida namba moja,mengine ndo yafate. Pembejeo unaweza pewa bure,bado ukakosa soko. Mfano mbaazi, na ukapatiwa majibu, kuwa zina protini nyingi utumie mwenyewe
Shida ni mfumo wa serikali yetu wameshindwa kuelewa kuwa asilimia 75 ya watanzania wanategemea kilimo hawataki kuwekeza walichobakia ni kuvizia wakulima wakiivisha wao wako bize kupanga wapi wasiuziwe na wapi wauziwe kiufupi serikali ndio inachangia kuvuluga soko
 
Basi unga utashuka mpaka kilo kati ya sh 200 na 300
Hakuna kitu kama hicho bei ya unga haitashuka
kinachofanyika ni kuwatajirisha zaidi matajiri na kuwakandamiza kabisa masikini kwasababu wafanyabiashara wakubwa wananutumia advantage ya wakulima kukosa soko/kufungwa kwa mipaka, wananunua mahindi kwa bei ya chini sana na wanauza unga kwa bei kubwa

Kinachofanyika ni kumkandamiza mkulima na kuwafaidisha akina
bakhresa na sio mlaji, hili liko wazi kabisa kwa kuangalia bei ya mahindi mikoani na bei ya unga madukani

Kama unasubiri unga upungue bei utasubiri sana mkuu.
 
Chakufanya sasa ni kuyachoma moto yote ili kutengeneza scarcity we all know wanaolima yakutosha kujilisha kwa msimu mzima ni wachache kuliko wanao nunua, otherwise tuzidi kuzisoma namba tu...
hiyo ni ngumu kwa wakulima wetu maana kilimo ndio chanzo chao cha mapato kwa iyo wanalazimika wauze wapate pesa kwa ajili ya mahitaji mengine.
 
Hii inafanana na ile ya kuuza nyanya ndoo kubwa buku (1000) pale Dumila
Wengine walitelekeza nyanya zao maana ilikuwa ni hasara kila siku kuzibeba mpaka sokoni then kurudi nazo nyumbani jioni. Hongera watawala kwa kupiga marufuku uuzaji nje ya Nchi. Tumepata mlichotaka.
 
Kuna mtu eti kasema gharama ya kulima hekar moja ni 190,000/=wacha bei ya mahindi ishuke ,Natamani nimpe bonge la tusi mku.........u wake!
 
KULALAMIKA na KUNUNGUNIKA ni tabia na asili ya Mwanadamu.Edeni, kipindi cha Musa na Kuendelea...Mahindi yakiwa bei chini au juu tunalalamika, Mvua ikinyesha tunalalamika Jua likiwaka tunalalamika.Tukishiba au tukiwa na njaa tunalalamika pia.Je Mungu anasema nini kuhusu kulalamika?jibu ni kwamba ni chukizo kwake, tunaitaji kuomba Mungu atupe njia mbadala kwa kila kikwazo.
KWA SUALA LA MAHINDI
Sio jambo geni Katika nchi hii bei kupanda au kushuka hii ni kutokana na nguvu ya mfumo wa uitaji na upatikanaji (dd&ss),Mipango mibovu ya wakulima na serikali pia.
Je kunasuluhisho kama nchi,kaya au mtu mmoja mmoja tunafikiria au tumechukua?Je mahindi ayawezi kuongezwa thamani tukafungasha package chakula cha watu au mifugo tukapata soko nje ya nchi?Je sisi wananchi tunaweza kununua na kuifadhi kwa kaya japo gunia tupate chakula bei ikiwa chini?

Viongozi wetu watengeneze mazingira tupate viwanda vidogo japo tufanye package nzuri na kuongeza thamani tuuze nje ya nchi. Balozi na wawakilishi wetu nje Wapambane tupate soko ya mazao yetu,Maisha yamebadilika balozi zisiwe sehemu za kwenda kupumzikia tu wastaafu.Wanalipwa wachape kazi Kweli.
Wananchi sisi tujaribu kununua ata gunia moja au mbili mbona ni pesa ya bia tu kwa sasa itakusaidia, kuna watu watalaumu yakipanda wakati fursa ni Sasa.
 
Mwanza jamani gunia ni 40,000/ mpaka 45,000/ kwanini wakati apo sengerema tu jirani ni 25,000/
 
Nyerere aliyaona hayo miaka ya 70. Alijenga maghala na NMC ziliprocess unga ukiitwa "Sembe".
Yale yote,yamevurugwa. Wataalamu wa Kilimo hawana hadhi,wanafokewa hadharani na wenyeviti wa vyama vya siasa vijijini.
Tujipange upya. Wazo ni zuri,tuwape fursa na nyenzo wataalamu wetu.
 
Niliingia NMC miaka kadhaa kabla aijavunjwa kutathimini. unaweza ukalia machozi,Nyerere alichukua mkopo World Bank anajenga Mills na Mashine.Mwisho wa siku nyingi ziliibiwa na kubinafsisha kijanja awamu zilizopita.Bora Arusha Mill Mzee Monaban aliyegombea ubunge kwa ccm anaendeleza kiwanda lkn bdo underproduction na majanga Mengão nyuma lakini nnampa HONGERA SANA.Mills za Mikoa mingine majanga. imagine Mills za mkoa zinaweza kuifadhi tani elfu 90 je tungekwama?Tunalaumu wazungu ila sisi watanzania tumeujumu sana nchi hii.Binafsi nashauri vijana wenzangu tujifunze kuifadhi nmenunua Gunia 2 jumla 48000 january ntatumia more Than year Wakati Iyo tunakula beer tu
 
Hii issue ni pana kuliko inavyoonekana!! Bahati mbaya kila Mukulu anayeingia anaanza na yake na kuponda sana ya watangulizi!!! Mf. Sumbawanga kuna godowns za kubeba zaidi ya mahindi yote ya Rukwa, lakini wenye nazo hawanunui! Wakulima hawana namna ila wameambiwa wasage, wauziane unga au wauze
Kenya full stop. Can this be done just overnight? Without any stratergy?
 
Uko sahihi, sasa hivi sado mapya 700/=kilimo hiki sio dili. Mandela Hiyo. Vijijini sintali 500/=
 
Back
Top Bottom