Thanx mkuu...nimesharejea tena, nilitingwa kidogo! Kule ndio nyumbani...
kwa iyo sitakiwi tena love?:help::A S-confused1::behindsofa:
Hivi inawezekana kweli? Naona wewe ndiye uliyeniacha, kwa sasa Canta ndiye maza house!
:help::A S-confused1::behindsofa:
Hivi inawezekana kweli? Naona wewe ndiye uliyeniacha, kwa sasa Canta ndiye maza house!
nina hamu na maziwa jamaniHivi wewe Rejao, Hujaona sehemu niliyokuita Dear???
Kuanzia leo, sikutaki tena kama kismall hausi.
Mie nimekutafuta bara na pwani afu warudi silent silent?(hii inglishi ni misisitizo)
Abormonation to kongoshohood!
nina hamu na maziwa jamani
Wewe siye mtu wa kukuchunia kabisa...Nadhani unaelewaa kuwa hali yangu haikuwa nzuri toka jumapili....Nimekuona, but nayaogopa madongo yako!!Hivi wewe Rejao, Hujaona sehemu niliyokuita Dear???
Kuanzia leo, sikutaki tena kama kismall hausi.
Mie nimekutafuta bara na pwani afu warudi silent silent?(hii inglishi ni misisitizo)
Abormonation to kongoshohood!
Wewe wangu tu ma dia...lazima tuwe tunakumbushia...kwa iyo sitakiwi tena love?
iyo avatar ni wewe?Smile upo? Nakutafuta kwa udi na uvumba.
acha kupotezea unanitaka ? ama hunitaki?Wewe wangu tu ma dia...lazima tuwe tunakumbushia...
Kuna tuhuma zako nimezisikia hapa halafu...inabidi tuongee kwa kirefu!!
Hivi kweli na huu wanja sijaonekana kwa Rejao???
Watu wakasema wewe ni Sioi mie nikakutetea wewe ni Naoa.
Bado hujatambua uwepo wangu?
Watu wakasema umekulia Mbagala na gongo la mboto, nikawahakikishia umekulia Upanga karibu na Dar West.
Wa kunitenda haya wewe???
Nimeamini Ocol akimpata Clementina, Lawino hana chake.
You Canta, the woman with whom I share my small hauzi!!!
iyo avatar ni wewe?
hahaahaha....lol,:becky::becky: Kong, you are really crazy!!Hivi kweli na huu wanja sijaonekana kwa Rejao???
Watu wakasema wewe ni Sioi mie nikakutetea wewe ni Naoa.
Bado hujatambua uwepo wangu?
Watu wakasema umekulia Mbagala na gongo la mboto, nikawahakikishia umekulia Upanga karibu na Dar West.
Wa kunitenda haya wewe???
Nimeamini Ocol akimpata Clementina, Lawino hana chake.
You Canta, the woman with whom I share my small hauzi!!!
acha kupotezea unanitaka ? ama hunitaki?
Yaani mbavu sina!! Huyu Kongosho sijui akili yake huwa inamtumaje!!!Hahahah hahahaha hahah,
My X mke mwenza umenichekesha mpaka basi lol!
Nataman Mme wangu Rejao aje asome hii mistari iliyojaa vishazi na nomino lol!
Wewe wangu tu ma dia...lazima tuwe tunakumbushia...
Kuna tuhuma zako nimezisikia hapa halafu...inabidi tuongee kwa kirefu!!
poa karibu moyoni mwanguSmile ya nini upganie huko? Kuja kipande hii fasta.
My swty friend,acha kupotezea unanitaka ? ama hunitaki?
Usihofu darlingi....Smile hana madhara kabisa!!Darling!!!!!!!
hivi my love kweli umeniacha?