Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
sie wanaume tulio kweli wanaume hatuachi mwanamke
wetu azongwe na watu kwa mashambulizi!
Yuko wapi huyo papaa? Kwani na wewe ni moja ya wale mwanaume akiwa
na hela chafu ndio kipimo pekee?
Huyo papaa useless kabisa. Njoo uwe protege wangu
sitakuangusha wala sitafanya kile hutaniruhusu!
Papa asali wa moyo ninaye hapa pembeni yangu anaongea na mwenetu aliye tumbon!!
Tayari mie malikia kwa rejao,sihitaji protection ya mwingine,
Napewa raha sio jaribio,kwa utamu asio nao mwingine,
Nakuona mvimba macho,mie hunipati jaribu kwengine,
Sifa kuu ya beibe wa rejao,nikuwashushua watu km nyie!!!
mapenzi na mahela bila kipimo,vinapatikana kwa rejao na si kwingine!!!