Rejao Uko wapi?

Rejao Uko wapi?

301830_376588269047400_100000886912967_1044321_1709595578_n.jpg
 
Mr Rock nakusalimia aiseee!

Hujambo
Mi mzima hofu ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu

Haaa Rocky jana hukuwepo wakati natangazwa mshindi?
Lol muulize Badili Tabia...waliandamana kupinga matokeo ila wameshauriwa waaige mfano wa CCM Arumeru wa kukubali matokeo bila tatizo....
Rejao anafunga kumbe....Dah safi sana
#

Erick mi mwenyewe naandaa kesi hapa nikisaidiwa na Lawyer Kloro kupinga ushindi wako
Maziwa Mgando na Mtei wamesema watakuwa mashahidi upande wangu kupinga ushindi wako wa kishindo
Yaani huwezi pata kura zote hizo
Na wanadai walikuona ukikimbia na masanduku ya kura na hizo ndo zilikupa ushindi
Pia ulionekana ukigawa rushwa kwa mawakala wabadilishe zile kura zote zilizotaja wapinzani wako ziwekwe alama mbili mbili zionekane zimeharibika
 
Hahahaaaa
Mwenzako Rejao kapotea jumla.....
Mi sina tatizo na zawadi....
Ngoja niandae mashindano mengine tuone nani atashinda kama sio mimi....
Yaliyomo yamoooo tu Mr Rocky...
 
Mie mzima kbs Mr Rock,

Ni mekumiss mkuu!!!
 
Mr Rock nakusalimia aiseee!

Haaa Rocky jana hukuwepo wakati natangazwa mshindi?
Lol muulize Badili Tabia...waliandamana kupinga matokeo ila wameshauriwa waaige mfano wa CCM Arumeru wa kukubali matokeo bila tatizo....
Rejao anafunga kumbe....Dah safi sana

Mi sina shida na zawadi yako ila nina shida na ushindi wako
Nitakata rufaa ila akiwepo yule hakimu wa siku zote aahhh ushamhonga sana

Hahahaaaa
Mwenzako Rejao kapotea jumla.....
Mi sina tatizo na zawadi....
Ngoja niandae mashindano mengine tuone nani atashinda kama sio mimi....
Yaliyomo yamoooo tu Mr Rocky...
 
Huyu Rejao bado hajajitokeza? Teh teh
mke wake naweza rithi mimi hapa!
 
Asante sana kw akunimiss aise
Nafurahi kama kuna mtu ananijali na kunimiss humu ndani
Asante sana
Pamoja kaka,
Naona tunapishana tu humu ndani!!

BTW,mwambie Erick apumzike japo kwa siku ya leo tu kulitaja taja jina na mme wangu rejao.
 
Pamoja kaka,
Naona tunapishana tu humu ndani!!

BTW,mwambie Erick apumzike japo kwa siku ya leo tu kulitaja taja jina na mme wangu rejao.​

au Erick na Rejao ni watani ?
 
Huyu Rejao bado hajajitokeza? Teh teh
mke wake naweza rithi mimi hapa!
Alafu ww?
Kule michelle unamtaka huku nako unanitaja taja!!!!

Unataka ajitokeze wapi,
Km mie mkewe niko naye na ndio kwanza namlisha kitumbua kwa raha zake!!!
Ww unamtakia nn?
Hebu ngoja acheue kwanza nitarudi km utakua na swali la nyongeza!
 
au Erick na Rejao ni watani ?

Awapi,Bora wangekua watan,
Washkaji tu,ambapo huyu erick anakujaga hm tunamtoa kiana ila naona keshasahau,
Hajisikii raha kutomtajataja baba watoto wangu mpaka anajing'ata tu kila wakati lol!
 
Alafu ww?
Kule michelle unamtaka huku nako unanitaja taja!!!!

Unataka ajitokeze wapi,
Km mie mkewe niko naye na ndio kwanza namlisha kitumbua kwa raha zake!!!
Ww unamtakia nn?
Hebu ngoja acheue kwanza nitarudi km utakua na swali la nyongeza!

mamaa tulia kulia. Mimi nataka kukuliwaza
na kukupa mahitaji wakati wa kukosekana kwake. Mrembo kama wewe haitakiwi upate shida
kabisa. Michelle ni queen wangu. U can be my protege.
 
Hahaha hahaha hahah!

Umepotea njia Sheby,
Mie sina shida natimiziwa mpaka ziada ya mahitaji yangu!!
Ww mgen humu ndio maana humjui Papa rejao mutu ya pesa mingi na mapenz ya milele!!!
Pua yake tu ambayo ndio ugonjwa wangu ni moja wapo ya sifa ambazo hakuna wa kuwa nayo isipokua laazizi wangu,

Ww endelea kutafuta upate wako umiliki peke yako bana,achana na wake za watu!!!
 
Mi sina shida na zawadi yako ila nina shida na ushindi wako
Nitakata rufaa ila akiwepo yule hakimu wa siku zote aahhh ushamhonga sana
Umewahi kuona africa wanaachia ngazi hata kama damu ya watu itamwagika?
Hapa siachii kitu....
Hahahaaaaa
 
Hahaha hahaha hahah!

Umepotea njia Sheby,
Mie sina shida natimiziwa mpaka ziada ya mahitaji yangu!!
Ww mgen humu ndio maana humjui Papa rejao mutu ya pesa mingi na mapenz ya milele!!!
Pua yake tu ambayo ndio ugonjwa wangu ni moja wapo ya sifa ambazo hakuna wa kuwa nayo isipokua laazizi wangu,

Ww endelea kutafuta upate wako umiliki peke yako bana,achana na wake za watu!!!

sie wanaume tulio kweli wanaume hatuachi mwanamke
wetu azongwe na watu kwa mashambulizi!
Yuko wapi huyo papaa? Kwani na wewe ni moja ya wale mwanaume akiwa
na hela chafu ndio kipimo pekee?
Huyo papaa useless kabisa. Njoo uwe protege wangu
sitakuangusha wala sitafanya kile hutaniruhusu!
 
Awapi,Bora wangekua watan,
Washkaji tu,ambapo huyu erick anakujaga hm tunamtoa kiana ila naona keshasahau,
Hajisikii raha kutomtajataja baba watoto wangu mpaka anajing'ata tu kila wakati lol!
Safi sana shem kwa kuwaficha watu....
Kwanza ndo waache kufuatilia mambo yatu....
Si ni famili friends
 
Back
Top Bottom