Rejao Uko wapi?

Rejao Uko wapi?

My swty friend,
Mboa unakua mkali ivo?
Wakati unajua kbs darling Rejao kachoka na anahitaji utulivu na kubembelezwa!
U just come bwana tushee mautamu si unajua kitamu kula na nduguyo!!!
leo nina hamu ya kitumbua sana ma dia niandalie mapema kabisa... mimi napitia supermarket nikuchukulie sousage najua unapenda sana kula mayai yaliyochemshwa,sousage na maziwa!!
 
nami pia rimoyo rangu rmekudondokea. Nirikuwa nala mingo mda mrefu nikukabidh mtima wangu. Karibu Smile
kwa vile umeweka picha yako mi nakuonyesha miguu kwanza
541026_279995462076488_100001981103625_622375_485223724_n.jpg
 
nina hamu na maziwa jamani

Maziwa gani?? Ujue kuna nyonyo za aina 2

Wewe siye mtu wa kukuchunia kabisa...Nadhani unaelewaa kuwa hali yangu haikuwa nzuri toka jumapili....Nimekuona, but nayaogopa madongo yako!!
Leo zamu yako my small house,,,jiandae vizuri! usisahau kuniandalia maziwa ya kuku!!

Basi njoo kwa Chips Edo saa 7 kamili ntakuwa pale.

Wewe wangu tu ma dia...lazima tuwe tunakumbushia...
Kuna tuhuma zako nimezisikia hapa halafu...inabidi tuongee kwa kirefu!!

Wanansingizia, mie tuhuma kwangu mwiko.
 
Ndo umeachwa hivyo.
Canta katoa malavidavi ya kivenezuela sijui ki-cuban.
Hahaha hahaha,
X- mke mwenza haya ni ya kichaga wala hayajavuka boda lol!

Raha moja mie wala sina hiana kwa nayetaka kujiunga nasi lol
Km ataiweza ligi ya kumpeleka higher kimahabati papa rejao aje tu!!!
 
Hahahah hahahaha hahah,
My X mke mwenza umenichekesha mpaka basi lol!
Nataman Mme wangu Rejao aje asome hii mistari iliyojaa vishazi na nomino lol!

He he he, nataka kugombea niwe Bawji au Shaban Robert.

hahaahaha....lol,:becky::becky: Kong, you are really crazy!!
Nilikumiss kweli kwa hiki kipindi nilichokuwa kwenye sayari nyingine!!

Najua, you need to laugh kwa sasa.
 
Thanx mkuu...nimesharejea tena, nilitingwa kidogo! Kule ndio nyumbani...
ok, pole na kilichokutinga... hapa ni kwema tuuu naona muimba mashairi Canta alijitahidi kufikisha salamu......

nasubiri thread yako ya matokeo ya alumelu kule kwenye siasa... i mean mtazamo na maoni yako... najua na ninaamini you have something to say to some people here in JF, nasubiri sana kwa hamu hiyo kitu
 
leo nina hamu ya kitumbua sana ma dia niandalie mapema kabisa... mimi napitia supermarket nikuchukulie sousage najua unapenda sana kula mayai yaliyochemshwa,sousage na maziwa!!
Oooooh my swty darling,
Usijali kitumbua chako kipo kinakusubiri wewe tu,
Nitakulisha kwa upole mpaka ucheue!!!!
Cha mchana wa leo kitabaki kuwa historia isiyosahaulika!

Btw,naitaman hiyo soseji mpaka udenda unanitoka lol!
Fanya uwahi usincheleweshe mme wangu!!!
 
Oooooh my swty darling,
Usijali kitumbua chako kipo kinakusubiri wewe tu,
Nitakulisha kwa upole mpaka ucheue!!!!
Cha mchana wa leo kitabaki kuwa historia isiyosahaulika!

Btw,naitaman hiyo soseji mpaka udenda unanitoka lol!
Fanya uwahi usincheleweshe mme wangu!!!
ahahaaaa sitaki ushahidi mimi
 
Back
Top Bottom