Rejao Uko wapi?

Rejao Uko wapi?

Pamoja shem wangu,

BTW,nishampa habari Bagah,hope atapita pande hizi very soon!!

Sawa shem. Namsubiri Bagah aje hapa 2malzie majadiliano.
Nakupa jukumu la kuweka bandiko pindi 2takapomaliza kikao.
 
kumbe ni mtu wa bar dah simtaki tena thax for info

ilikuwa zamani. Nilikuwa napenda kwenda bar kunywa mchemsho, mishkaki. Pia nilikuwa naenda kucheza pooltable.
Mimi na ulabu ni maadui wakubwa.
 
Sawa shem. Namsubiri Bagah aje hapa 2malzie majadiliano.
Nakupa jukumu la kuweka bandiko pindi 2takapomaliza kikao.

Pacha vip...kuna kasehem Amy anataka kuharibu..."kasema uache kwenda bar"....sa ngapi kipya kinyemi kisione...?utapigwa chini ndugu yangu...kama vip report abuse fasta!...haha!
 
Pacha vip...kuna kasehem Amy anataka kuharibu..."kasema uache kwenda bar"....sa ngapi kipya kinyemi kisione...?utapigwa chini ndugu yangu...kama vip report abuse fasta!...haha!

Amy anaish Cnza halafu ni jirani na bar maarufu. Nilikuwa naenda pale kula mchemsho na msosi mwngne ili nimfkie kwa urahc kpnd kile cha usaili.
Mimi ni mteja mzuri wa soda na juice za ile bar.
 
Hii ni yako peke yako mpenzi. Narudia tena, u are the only one who deserves to have it!!
Kongosho na Smile this time watakula tu kwa macho!!

Umeshanunua GX50, nimechoka kupanda vibajaj havina hata AC.

Lol...usinimezeshe mate mie, nipo ofisini kariakoo kwenye gorofa la muhindi! Mpaka nifike kwa Edo na hiyo mifoleni si nitafukuzwa kazi? Jioni nitakusubiri Namamga twende wote kwa Eddo!!

Mie ntakukula kwa uma na kisu.
 
Kwan anaumia jamani? Si amesema yuko happy?

si unajua anahitaji faraja wakati mwingine braza anapokua busy...kama ivi uchaguzi arumeru umeisha ila sijui anakomaa na nn huko!
 
si unajua anahitaji faraja wakati mwingine braza anapokua busy...kama ivi uchaguzi arumeru umeisha ila sijui anakomaa na nn huko!

Erick kapata kademu ka ki meru ndo kanamchanganya.
Kuna mikutano kama mitatu hv hakutokea.
 
Back
Top Bottom