Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

Bila shaka wee ni mchaga maan watu wa kaskazin kwa kumpgiaga upatu uyu mengi mpo vizuri..mtu anatajwa kuwa na utajiri zaid ya USD 300M kutoa msaada wa Tshs.25M ndo kelele zote hizo..misaada ya mzee mengi mingi lazima itangazwe,mm ni rc pure ila mbona naonaga mitaan bakhresa anawajengea muslim misikitin mingi tu yenye thaman zaid ya hyoo pesa kam msaada na sionagi wakimtangaza kwenye tv

pamoja na kuwa anajitangaza na dini (uislam na ukristo) haziruhusu hivyo, but i think kutoa misaada ni nature ya reginald mengi coz alianzaga kutoa misaada kwa jamii tangu miaka ya 1992 pengine hata kabla ya hapo na kipindi hicho hata itv ilikuwa haijaanzishwa meezy
 
unataka kila wanapotoa watangaze??
waislam dini yetu hauruhusu mambo ya sifa hasa wakati wa kutoa msaada

SIJASEMA MENGI KAJITANGAZA WALA ANA SIFA mungu amtangulie kwa moyo wa imani kwa kuguswa na kusaidia

mengi ni mtoa misaada tangu 1980's hata kabla itv haijaanzishwa Snipes
 
Mada yako imepoteza mwelekeo, imekaa kiudini zaidi,japo lengo lako halisi sijui.Hakuna Dini ya kweli inayosema ukimpa mtu kitu umtangazie,dini zinafundisha utoe kwa siri,Huyo Mengi ndio yule anaewapa chakula walemavu na makamera ya video.huko sio kutoa kidini huko ni kutafuta sifa tu.

Pamoja na hayo, ingawa dini haziruhusu but the positive thing is that he inspires others to do the same, ana-motivate wengine kusaidia wasionacho @AiP0L0
 
Sasa ukitoa then ukanyamaza wengine watajifunza vipi kuwa kuna ulazima wa kutoa jamani. Hapo mnaongelea suala la dini kutorusuhu kuonekana wakati wa kutoa lakini sio kweli kuwa dini inaruhusu kukwepa kulipa kodi, vile vile suala la kuwalipa wafanya kazi kiwango kidogo cha mshahara, ubaguzi wa dini na jamii ya watu fulani dini hairuhusu pia, kuajiri wahindi pekee na kuwaacha wazawa dini hairuhusu.
Mimi naona tukitoa misaada lazima tujitangaze ili wengine waige mfano.

yani kama ulkuwa kwenye akili yangu, i told one commentor humu jf kuwa ingawa dini hairuhusu kujionesha lakini reginald mengi ana-influence many people in a positive way to do the same, lyk walionacho kuwasaidia watu wasionacho... lovebitelol
 
Mengi na kautajiri kadogo anachangia milioni 10,20 mpaka 100 kila siku.

Hivi matajiri wengine mioyo yao ni ya chuma,mbao?Mo dewji,Diamond Platinum, Bharesa

hahaha maybe hao wengine wanatoa sana tu ila tu hawajioneshi, hata kwenye harambee kuchangia wahanga wa tetemeko la kagera mengi alitoa million 110, lakini dewji alitoa million 100 (mind you dewji ni usd billionaire, kijana, na anakwepa sana kodi) jaji mfawidhi
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Ameshachangia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo.

Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk?

Sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako.

Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake.

Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
makundi matatu ktk jamii ya kutoamini sana ni bepari, mwanasiasa na mwanamke😀😀😀
 
Usilolijua sawa na usiku wa kiza.
 
yani kama ulkuwa kwenye akili yangu, i told one commentor humu jf kuwa ingawa dini hairuhusu kujionesha lakini reginald mengi ana-influence many people in a positive way to do the same, lyk walionacho kuwasaidia watu wasionacho... lovebitelol
Wajufunze vipi,kwani kuna asiyejua umuhimu wa kusaidia wenye shida?,kama unahitaji mpaka uone mwengine anatoa misaada ndo uwe motivated basi una tatizo kubwa
 
Bakheresa anatoa sana ila huwa hapendi kutangazwa au sehemu nyingine hata kujulikana ila anasaidia jamii sana
 
Kwani Hao Wakina Mo Na Bhakresa Hawalipi Kodi Mpaka Watoe Msaada?
 
Bila shaka wee ni mchaga maan watu wa kaskazin kwa kumpgiaga upatu uyu mengi mpo vizuri..mtu anatajwa kuwa na utajiri zaid ya USD 300M kutoa msaada wa Tshs.25M ndo kelele zote hizo..misaada ya mzee mengi mingi lazima itangazwe,mm ni rc pure ila mbona naonaga mitaan bakhresa anawajengea muslim misikitin mingi tu yenye thaman zaid ya hyoo pesa kam msaada na sionagi wakimtangaza kwenye tv
Musikiti inaleta tija gani kwenye jamii zaidi ya kuwa dojo za karate.
 
Matajiri wengi wa kiislam wao misaada yao ni kujenga misikiti na madrasa basi!

Hata Diamond kila akiulizwa katoa msaada gani kwa jamii atakutajia orodha ya misikiti aliyojenga ,na si orodha ya dispensary au visima vya maji au madarasa aliyojenga.Naona ndo dini yao inavyowafundisha kwamba misaada yao isiwaguse wakiristo
 
Wengine ni waislam hawatoi sadaka kwa sifa.Kwa majibu wa mafundisho unatakiwa kutoa sadaka kimya kimya ukitoa kwa sifa (ria) utakuwa huna malipo kutoka kwa Mwenyezi Mungu
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Ameshachangia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo.

Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk?

Sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako.

Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake.

Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.

Mkuu upo Biased. Kwanza hii thread umeielezea kishabiki na kinyume chake, tajiri wa kwanza hapa bongo anaesaidia masikini na ameajiri wafanyakazi wengi ni BAKHRESA. huyu mzee hujui siri zake, ni mtu ambae anatoa mkono wa kushoto haujui kinachoedelea, sasa mkuu unataka dunia nzima wajuwe fulani katoa ili iweje, huyu jamaa hapendi kujitangaza kama mengi, na anaibiwa sana tu lakini hadropu,na biashara zake zinazidi kunawiri kuliko huyo mengi. Huyu mzee namkubali katika wafanyabiashara wote tanzania
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Ameshachangia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo.

Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk?

Sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako.

Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake.

Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
Bakhresa hatangazagi hata kupitia azam tv kuwa katoa msaada ila huyu mzee anatoa misaada zaidi ya mengi!
 
Back
Top Bottom