Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Amesha changia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo. Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk? sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako. Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake. Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
Si kila anayetoa hutangaza, hàta hivo msaada siyo haki hata uidai bali ñi hiari ya mtu kutoa. Kuhusu bidhaa zao kwan umelazimishwa kuzinunua? Mengi anazo koka, fanta na sprite, waweza kunywa na usizimalize. Isitoshe wewe umetoa nini? Na wapi? Acha gubu!
 
Ile miradi sio yao.
Wewe unaongea au unabwabwaja au ni upambe tu???
Manake siku izi kuna style kibao yakutaftia vijiko flani vya kumshobekea MTU ili uvute hata buku5.
Sasa ongea kwa kitu ulichokua na uhakika nacho sio upambe tu.
Milion 25 umeona ndio katoa hasa hadi umfananishe na SSB?
ILE MELI ALIOTOA ZNz miaka ya Nyuma baada ya meli ya serikali ya Znz kuzama. Je unaifaham bei yake??
Njoo kwa MO ukitaka kujua MO ni nani sogea jengo la msimbazi umtolee kashfa hapo ndio utajua maini sio nyama..
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu?
Mada yako imepoteza mwelekeo, imekaa kiudini zaidi,japo lengo lako halisi sijui.Hakuna Dini ya kweli inayosema ukimpa mtu kitu umtangazie,dini zinafundisha utoe kwa siri,Huyo Mengi ndio yule anaewapa chakula walemavu na makamera ya video.huko sio kutoa kidini huko ni kutafuta sifa tu.
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Amesha changia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo. Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk? sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako. Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake. Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
Kawaulize wakazi wa singida MO ni nani......pia ulizia SSB msaada wake ktk tasisi mbali mbali kuanzia vutuo vya watt yatima wajane na wazee.
Sio kuleta tu upambe wakushabikia flani
Kumbe na ww ukitaka upewe au.
Hii hali ya solex na asiefanya kazi adozi njaa
 
Bila shaka wee ni mchaga maan watu wa kaskazin kwa kumpgiaga upatu uyu mengi mpo vizuri..mtu anatajwa kuwa na utajiri zaid ya USD 300M kutoa msaada wa Tshs.25M ndo kelele zote hizo..misaada ya mzee mengi mingi lazima itangazwe,mm ni rc pure ila mbona naonaga mitaan bakhresa anawajengea muslim misikitin mingi tu yenye thaman zaid ya hyoo pesa kam msaada na sionagi wakimtangaza kwenye tv
wacha ukabila wewe elimika karne siyo ya ukabila
 
Kutoa na kutangaza ni ria !!!
kutoa bila kutangaza ni siri !!!
swadaqa ni lengo la kumfikia MwenyezzMungu.
sinajinasasa wapo watu wengi hutoa kimyakimya na kwa siri.... siajabu wanawahaha wa akina TRA nk nk nk !!
 
Kutoa kwa MTU haina maana tuwalaumu wasiotoa

Coz kutoa so deni bali ni hiyari

Wapo masikini wanapata shida kwa kutoa kodi zao hao ndio wakupongezwa na kuwaombea coz wanatoa kila siku na maisha yao ni yale yale
 
Uislamu unasema toa na mkono wa kulia na mkono wa kushoto usijue,

yaani hata mkeo, watoto wasijue kama umetoa sadaka, means usijtangaze kabisa unapofanya jema (ingawa taarifa inaruhusiwa ila majigambo hayarusiwi unapotoa sadaka)!
 
Hao unaowapambanisha unaweza kukuta wanatofautiana kwenye makubaliano ya ulipaji kodi, badala ya kulipa kodi direct yeye anasaidia shughuli za kimaendeleo/kijamii
 
Kwa mujibu wa mafunzo ya kiislaamu ukitoa haifai kujitangaza. Bakhresa kwa siku anatoa misaada mingi sana.
kuna jipu kubwa sana hapo katika udini huyu jamaa misaada imekaa kiudini sio kwa wote hata ajira zake kusa sifazote ila kuwa na moja tuu ya dini utapewa kazi

kwanzia mfagiaji hadi top ni muslim na je wasio na imani waajiriwe wapi?
 
mleta mada nadhani wewe ni zaidi ya mjinga na hata bado sijaelewa ulichoenda kusoma shule? usikute baba yako,mama yaki, mkeo au watoto wako wanajusifu eti baba etu ana akili Sanaa ...........laiti wangekujua jinsi ulivyo box kichwani wasingechelewa kwenda kukuuza uarabuni ukafulishwe chupi huko!!
punguani wahed!
 
Sio Kila anayerejesha fadhila Kwa wananchi ajitangaze Kwenye vyombo vya khabari Mkuu,mengi ni mkristo Na. Hao wengine ulootaja sio wakristo.ni waislamu safiii.na katika uislam kutoa sadaqA au msaadaunatakiwa utowe Kwa mkono Wa kulia Na. Wa kushoto usijue kuwa mkono Wa kulia umetoa.kwani hiyo kutoa wengine wanatoa Kwa sifa Na. Hiyo Huwa hupati thawabu Kwa Mungu bali ni Habaan manthuura(vumbi tu)
 
Back
Top Bottom