Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

Kwenye maeneo ya Wafugaj na uislam wapi na wapi wapo huko pwani wanavua kwa mabom ila kiukweli mimi sijawahi kuona mchango wa uislam
Mkuu MTOCHORO huwezi kuona faida ya misikiti kwakuwa hutaki, hata faida ya dini yako hutakuja kuiona maana hata huko uliko ingawa dini yako ina wafuasi wengi lakini imeshindwa kukomesha mauaji ya vikongwe na albino,kukeketwa kwa mabint, uharibifu wa mazingira kwa faida ya mifugo na wizi wa mifugo. Mkuu huku pwani miaka hii kuna wafugaji wamefuata marisho, na kazi kubwa ya misikiti ni kuwapa NENO ili waachane na imani zinazokiuka haki za binadam, kwamba vikongwe na albino wana haki ya kuishi na miti pia iheshimiwe na hivyo ilindwe kwa faida yetu na vizazi vyeti. mkuu karibu pwani
Kwenye maeneo ya Wafugaj na uislam wapi na wapi wapo huko pwani wanavua kwa mabom ila kiukweli mimi sijawahi kuona mchango wa uislam
Mkuu MTOCHORO huwezi kuona faida ya misikiti kwakuwa hutaki, hata faida ya dini yako hutakuja kuiona maana hata huko uliko ingawa dini yako ina wafuasi wengi lakini imeshindwa kukomesha mauaji ya vikongwe na albino,kukeketwa kwa mabint, uharibifu wa mazingira kwa faida ya mifugo na wizi wa mifugo. Mkuu huku pwani miaka hii kuna wafugaji wamefuata marisho, na kazi kubwa ya misikiti ni kuwapa NENO ili waachane na imani zinazokiuka haki za binadam, kwamba vikongwe na albino wana haki ya kuishi na miti pia iheshimiwe kwa faida yetu na vizazi vyetu. mkuu karibu pwani
 
Sasa hapo Bakhersa anasaidia au ndiyo anazidi kuvuruga?! Kutoa alfu 5 au kumi kwa hao omba omba hakutaleta tija yoyote, labda angefikiria mkakati mwingine wa maana, wa kuweza kuwaendeleza hao omba omba, kupitia ustawi wa jamii, afya, elimu na makazi, ila kama tujuavyo hayo hayatafanywa ng'o na omba omba wataendelea kupumbazwa na vi hela vya kutumia kwa siku...
Ushasikia wapi Tajiri anamuendeleza Masikini sasa nani atakuja kumfanyia kazi mwenzie?

Ndio Maana Ulaya na Marekani wanataka tuwe masikini tu
 
Back
Top Bottom