Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
we umechangia ngapi au unabwabwaja tu mtandaoni muwe na shkrani kidogoUmeona milioni 25 pesa nyiiiiingi. Contributions za bakhresa waulize ma Raisi wote watakwambia
we umechangia ngapi au unabwabwaja tu mtandaoni muwe na shkrani kidogoUmeona milioni 25 pesa nyiiiiingi. Contributions za bakhresa waulize ma Raisi wote watakwambia
Sasa ukitoa then ukanyamaza wengine watajifunza vipi kuwa kuna ulazima wa kutoa jamani. Hapo mnaongelea suala la dini kutorusuhu kuonekana wakati wa kutoa lakini sio kweli kuwa dini inaruhusu kukwepa kulipa kodi, vile vile suala la kuwalipa wafanya kazi kiwango kidogo cha mshahara, ubaguzi wa dini na jamii ya watu fulani dini hairuhusu pia, kuajiri wahindi pekee na kuwaacha wazawa dini hairuhusu.
Mimi naona tukitoa misaada lazima tujitangaze ili wengine waige mfano.
unataka kila wanapotoa watangaze??
waislam dini yetu hauruhusu mambo ya sifa hasa wakati wa kutoa msaada
SIJASEMA MENGI KAJITANGAZA WALA ANA SIFA mungu amtangulie kwa moyo wa imani kwa kuguswa na kusaidia
Haipo kwa kitambulisho gani? Ni watanzania wangapi wanasoma vitabu?Wanatakiwa wajifunze kupitia vitabu.kwanza unatakiwa kujuwa nini maana ya sadaka/msaada/zaka, ukishajua hivi vitu hutauliza tena.
Dini hairuhusu usilipe kodi, sasa ni nani hapo unaemkusudia halipi kodi?funguka mkuu
Nikweli dini hairuhusu, lakini umejuaje wanapewa mishahara midogo? Na umejuwaje kuna ubaguzi wa dini na jamii ya watu fulani.hebu funguka mkuu hata hatujui unaemkusudia hapa ni nani!
Na alieajiri wahindi wengi akaacha wazawa ni nani huyo? Ulipata bahati ya kuwatembelea hao waajiriwa ukajua idadi yao wako wangapi? Means wahindi na wazawa?
"Mimi naona tukitoa misaada lazima tujitangaze ili wengine waige mfano" hiki kitu hakipo.
Mkuu hujanielewa, nimemnukuu mtu pale akisifia misaada ya kuwapa omba omba pesa kila ijumaa nikasema hiyo sio endelevu. Nikasifia msaada wa kujenga baadhi ya vyumba vya madarasa ya mojawapo ya shule zilizo jirani na kiwanda chake (Mzee SSB). Ukikuta comment na ukiona mtu kamnukuu mtu kasome comment zote ili uelewe vizuri. Yaonesha wewe ulisoma kile kipande cha misaada midogo ya omba omba na kwa vile ulikuwa unasoma kwa hisia simpendi SSB nampondea basi hisia zako zikakufanya usione zile pongezi nilizompa mwishoni kwa ujenzi wa madarasa ktk comment hiyohiyo. Soma vizuri usiweke hisia mbele.
Sasa hapo Bakhersa anasaidia au ndiyo anazidi kuvuruga?! Kutoa alfu 5 au kumi kwa hao omba omba hakutaleta tija yoyote, labda angefikiria mkakati mwingine wa maana, wa kuweza kuwaendeleza hao omba omba, kupitia ustawi wa jamii, afya, elimu na makazi, ila kama tujuavyo hayo hayatafanywa ng'o na omba omba wataendelea kupumbazwa na vi hela vya kutumia kwa siku...Baka akitoa pesa kwa masharti asitangazwe ndio Dini yake inavyotaka... ila sifa yake hajawahi kwenda Mecca sababu anapenda washeli za wafanyakazi wake... Nenda home kwake pale Masaki nje kama klabu cha omba omba migao ya pesa kila siku
Sema tu alielekeza kununulia pangaboyNadhani wanatoa ila hawatangazwi sana.
Pia matajiri wa kibongo utoaji wao siku hizi umekuwa mgumu sana tangu Sizonje ashindwe kueleza yale madolari toka kwa M7 aliyokabidhiwa cash cash pale ikulu na mwakilishi wa M7 kama mchango wa waadhirika wa tetemeko Kagera kayaelekeza kwenye nn haswa
Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Ameshachangia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo.
Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk?
Sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako.
Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake.
Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
Kutoa Ni Moyo Sio Utajiri Mkuu umesahau nn?Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Ameshachangia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo.
Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk?
Sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako.
Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake.
Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
Tupo pamoja kamanda. Binadamu hukosea, mimi na wewe ni binadamu tunakosea pia kawaida tu.Samahani kamanda wangu, nilikua sijakupata vizuri, Ahsante kunielewesha.
unataka nini hasa??dini yenu hairuhusu kutangaza mkichangishwa michango kwenye vikao vya harusi mbona mnatangaza mbele ya wanakamati.
ukisoma vizuri ni kwamba mengi alialikwa kwenye harambee aka pledge hiyoo pesa. ulitaka akae kimyaa wengine wangehamasikaje?
unataka nini hasa??
sifa
kiki
ugomvi
kutukanwa
Mkuu hivi ile nafasi aliyopewa tido mhando unadhani hakuna muislam mwenye uwezo nayo? ni uwezo ulionao ndiyo ukaokupa nafasi kwenye kaziHaipo kwa kitambulisho gani? Ni watanzania wangapi wanasoma vitabu?
Wanaajiri wahindi tuu kwenye nafasi za juu., wazawa wanafanyishwa kazi ngumu kwa ujira mdogo. Vile vile kuna ubaguzi wa kidini ukienda kuomba kazi ukiwa umevaa kofia fulani unapata kwa haraka zaidi.
Misikiti haisaidii maana hayo yote ni kinyume chake, Fuatilia wauza Unga 80% Majambazi wanaokamatwa wote, fuatilia magazeti kesi zote za ubakaji na Ulawiti, Angalia takwimu za mimba za utotoni wote ni waenda MisikitiniMisikiti inapunguza watoto wa zinaa,inapunguza wauza unga,inapunguza wavuta unga,inapunguza mimba za utotoni,inasaidia kukemea kukeketa,inakemea ufisadi,inamfundundisha mwanadamu dhima yake hapa duniani. Misikiti inamsaidia mwandamu kutafuta mali kwa njia za halali. Mkuu ukipata nafasi kiuchumi jenga misikiti na wahimize watu wahudhurie kwa wingi, maana humo ndimo jamii inapewa miongozo sahihi ya maisha
Mkuu kuwa muislam pekee hakutoshi kukufanya RAIA mwema, ni mpaka uhudhurie ibada Mara kwa Mara ujifunze na ujilazimishe kuacha makatazo. ndiyo maana nakushauri ujenge misikitiMisikiti haisaidii maana hayo yote ni kinyume chake, Fuatilia wauza Unga 80% Majambazi wanaokamatwa wote, fuatilia magazeti kesi zote za ubakaji na Ulawiti, Angalia takwimu za mimba za utotoni wote ni waenda Misikitini
Mkuu fuatilia pia misikiti imefaulu kudhibiti wizi wa mifugo, kukeketa, kuwaua vikongwe, ufisadi serikalini nk.. tuendeleze jitihada kupambana na hayo mengineMisikiti haisaidii maana hayo yote ni kinyume chake, Fuatilia wauza Unga 80% Majambazi wanaokamatwa wote, fuatilia magazeti kesi zote za ubakaji na Ulawiti, Angalia takwimu za mimba za utotoni wote ni waenda Misikitini
Kwenye maeneo ya Wafugaj na uislam wapi na wapi wapo huko pwani wanavua kwa mabom ila kiukweli mimi sijawahi kuona mchango wa uislamMkuu fuatilia pia misikiti imefaulu kudhibiti wizi wa mifugo, kukeketa, kuwaua vikongwe, ufisadi serikalini nk.. tuendeleze jitihada kupambana na hayo mengine