Abdallah M. Nassor
JF-Expert Member
- Mar 20, 2008
- 600
- 620
kuna jipu kubwa sana hapo katika udini huyu jamaa misaada imekaa kiudini sio kwa wote hata ajira zake kusa sifazote ila kuwa na moja tuu ya dini utapewa kazi
kwanzia mfagiaji hadi top ni muslim na je wasio na imani waajiriwe wapi?
Kwa wafanyakazi tunaowajua kwa kuwaona kwenye Azam TV sijaona suala la udini. Udini unaleta wewe. Na hapo juu nilikwambia kuwa Bakhresa anatoa msaada kimya kimya sio kwa waislamu pekee ila dini yake ndo inamtaka asijitangaze.