unaongea kjwa uhakika sana mkuu,vipi huwa wanakutuma ww ukachangie?Wengi wanachangia kimya kimya
Marhaba.Sawa kabisa na kuongeza kidogo SADAKA inauhusiano na imani ya kiroho MSAADA ni wa kimwili zaidi kuliko kiroho.Sasa basi msaada Mara nyingi unaratibiwa vinginevyo utapigwa juu kwa juu bila kuwafikia walengwa ndio maana ya kuweka misaada wazi.Sadaka ni kutoa chochote ulichonayo na kumpa yeyote, sio lazima awe muhitaji.
Msaada ni kutoa fungu lolote katika uwezo wako kwa ajii ya watu wenye uhitaji kwenye jamii au watu wenye mahitaji maalum.
Babumwerevu shkamoo[emoji15] [emoji15]
Hao wakitoa wanatarajia thawabu kwa Mungu sio sifa kwa binadamu. Labda ujivike sifa ya UMungu waanze kukutangazia kila wakitoa. Nenda singida ukaongee ujinga huo kuhusu MO usikie wananchi watakavyokujibu. Siku anatangaza kuwa hatagombea tena ubunge wananchi walikuwa wanalia. Kulikuwa hakuna mkoa mkame kama singida lkn amechimba visima vyakutosha kwa pesa yake. Ni vizur kufanya research kabla yakuongea jambombona mmekomaa sana Hugo bakresa hatakwenye arambe mbalimbali sijawahi msikia akitoa chochote au nayo dini hairuhusu
unaongea kjwa uhakika sana mkuu,vipi huwa wanakutuma ww ukachangie?
Baka akitoa pesa kwa masharti asitangazwe ndio Dini yake inavyotaka... ila sifa yake hajawahi kwenda Mecca sababu anapenda washeli za wafanyakazi wake... Nenda home kwake pale Masaki nje kama klabu cha omba omba migao ya pesa kila siku
Bila shaka wee ni mchaga maan watu wa kaskazin kwa kumpgiaga upatu uyu mengi mpo vizuri..mtu anatajwa kuwa na utajiri zaid ya USD 300M kutoa msaada wa Tshs.25M ndo kelele zote hizo..misaada ya mzee mengi mingi lazima itangazwe,mm ni rc pure ila mbona naonaga mitaan bakhresa anawajengea muslim misikitin mingi tu yenye thaman zaid ya hyoo pesa kam msaada na sionagi wakimtangaza kwenye tv
sawaNshakutana nao kwenye utoaji wa misaada.
Kwa mujibu wa imani yao hutakiwi kufanya misifa unapotoa msaada ,bakhresa anatoa sana sadaka kwa jamii ila kwa kimyakimya!Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Ameshachangia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo.
Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk?
Sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako.
Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake.
Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
Ebwanaee kweli hivi zilikuwa kiasi ganiNadhani wanatoa ila hawatangazwi sana.
Pia matajiri wa kibongo utoaji wao siku hizi umekuwa mgumu sana tangu Sizonje ashindwe kueleza yale madolari toka kwa M7 aliyokabidhiwa cash cash pale ikulu na mwakilishi wa M7 kama mchango wa waadhirika wa tetemeko Kagera kayaelekeza kwenye nn haswa
Hio ni wanafunzia wanaaply scolarship
Dini zao hazjawafundisha kuoa kutoa misaada nilazima kujitangaza, nasio kutoa misaada mpaka zakat(fungu la 10) watu wanapanga foleni kariakoo. Kwa kilaza kmatoa post huwez kuona umuhim wao
Matajili wengi ni sawa na wanasoka asa wale mawinga washambuliaji, wanyewe wanajua Kushambulia tu but not deffence.Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Ameshachangia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo.
Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk?
Sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako.
Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake.
Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
😀😀😀😀 Ndio uvumi ukienda pale Livingstone wakianza kugombana basi humwaga siri zote nadhani huwa wanaoneana wivudu we jamaa noma, ina maana ukifanya kazi kwa bakheresa washeli unaweka rehani siku yoyote ataitaka!