Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

Mengi na kautajiri kadogo anachangia milioni 10,20 mpaka 100 kila siku.

Hivi matajiri wengine mioyo yao ni ya chuma,mbao?Mo dewji,Diamond Platinum, Bharesa
 
Akina sabodo wamechangia sana visima,mashule nk lakini hajajitangaza na hajaomba kuungwa mkono

Hizo 25m tu kelele kibao media zitamulika weee ,mniunge mkono nk
 
Baka akitoa pesa kwa masharti asitangazwe ndio Dini yake inavyotaka... ila sifa yake hajawahi kwenda Mecca sababu anapenda washeli za wafanyakazi wake... Nenda home kwake pale Masaki nje kama klabu cha omba omba migao ya pesa kila siku
du we jamaa noma, ina maana ukifanya kazi kwa bakheresa washeli unaweka rehani siku yoyote ataitaka!
 
kuna jipu kubwa sana hapo katika udini huyu jamaa misaada imekaa kiudini sio kwa wote hata ajira zake kusa sifazote ila kuwa na moja tuu ya dini utapewa kazi

kwanzia mfagiaji hadi top ni muslim na je wasio na imani waajiriwe wapi?
Dastan Tido Mhando na Charles Hilal ni waislam? udini ukiupenda sana hupofusha
 
Umeona milioni 25 pesa nyiiiiingi. Contributions za bakhresa waulize ma Raisi wote watakwambia
Sisi hatujuwi hayo wala hatujasikia, yawezeka hizo ni bahasha zao alikuwa anawapa. Kwa mini I we siri ? Sisi tulio wengi tunamjuwa Mengi maana michango take ni ya wazi,tunaiona hatakama unaona ni kidogo.
 
Nadhani kinachomuumiza mengi ni bhakresa kuteuliwa kwenye kikwete foundation....
 
mleta mada nadhani wewe ni zaidi ya mjinga na hata bado sijaelewa ulichoenda kusoma shule? usikute baba yako,mama yaki, mkeo au watoto wako wanajusifu eti baba etu ana akili Sanaa ...........laiti wangekujua jinsi ulivyo box kichwani wasingechelewa kwenda kukuuza uarabuni ukafulishwe chupi huko!!
punguani wahed!
Ustaadhi,
Vipi tena yakhee!? Matusi kedekede, tuliza munkari bhana. Hoja kwa hoja ndio mpango mzima. Hasira ruksa ila control muhimu. Ukilianzisha uwe na break.
 
Kampuni ni take ana haki ya kunchagua anaye muona anamfaa. Lakini je makonda kusema kanisani "tanzania inaendeshwa na kanisa "hukuona jambo hili linaweza kuzua balaa?hili ndio jipu. Kwani neno kama hili linahatarisha usalama wa nchi .na kasema kwa kujiamini.
 
Kwa ili mkuu umechemka, hao wote uliwataja hapo niwachangiaji misaada wazuri kwenye jamii, ulishawahi kumuona anagawa pesa? Au ulishawahi kumuona mo anachimba visima? Basi wanafanya sana awajitangazi
 
Fanya Kazi ww komaa utoke unajua walivyo hustle kuutafuta huo utajiri. Na hapo ndio ujiulize kwann hata dingi yako hana pesa kuliko hao jamaa ingawa upo uwezekano kawazidi umri. Watu wanachangia kumbuka wengine ni waislamu hao Dini inawakataza kutoa kwa ria yaani kwakujionyesha. Akitoa sio lazima aje akutangazie wewe kwani wewe hujapewa Kazi yakuandika thawabu zake. KOMAA UTOKE ACHA KUPENDA MTEREMKO
 
mbona mmekomaa sana Hugo bakresa hatakwenye arambe mbalimbali sijawahi msikia akitoa chochote au nayo dini hairuhusu
 
sasa ngojea bashite achangie hata elfu 15 utaona matangazoo yakee daslam yoteeeeee itazizimaaaaa vyevye anapenda ku trend
 
207b4f40dc18a6dbbee3b43e44accd56.jpg
 
Back
Top Bottom