A. Magnificent
New Member
- Oct 9, 2012
- 3
- 1
Kama unalengo la kumsaidia,tafuta no yake mpigie umshauri,kuliko kumchana hapa hadharani...na wewe umekua wa mipasho au?by the way kama unamfuatilia vzuri mwanzoni hakua na kipindi maalum lakini sasa wamempa kile cha jicho la tatu ambacho mi naona kinaendana nae sana tu.