Regina Mwalekwa hopeless kabisa

Regina Mwalekwa hopeless kabisa

Waleta uzi uku msiwe mnaleta mada za kuingilia uhuru wa mtu binafsi. Nadhani tasnia ya uandishi wa habari una vionjo vyake sasa huyu dada amebadilika na kitaka asikike kivingine wewe kama hufurahishwi na utangazaji wake zima au badilisha kituo
 
Back
Top Bottom