peoples power
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 475
- 100
Mtu kafuata maslahi, wewe unatakaje kwani?? Hivi mkoje wabongo lakin?? Clouds ni radio ya BURUDANI, hiyo ndo style yao. Wewe kinakuuma nini???
kazi tunayo wabongo duuu!!!hii ni hatari kuona watu mnashabikia ujinga,hv tutajifunza lini jamani?