Regina Mwalekwa hopeless kabisa

Regina Mwalekwa hopeless kabisa

Santeeee
Ukilewa sifa elewa utaishia kukosa sifa. Radio one na clouds wapi na wapi? Clouds naona kama sehemu ya wahuni wanaouza sura na kuficha ujuha na ukihiyo wao so to speak. Kweli huyu aliruka nkojo akakanyaga manonihiino!
 
Isiyo sikilizwa siyo redio. Hiyo yenye watu mnaowasikiliza ni redio, kama siyo mbona mnaisikiliza? Mimi huyo mmama nilijua alisha kufaga maana sijamsikia tena baada ya redio 1! Mmesema yuko redio gani? Na hiyo redio nadhani haiko Tanzania.
 
Ndo style ya kibongo wenyewe wanaita style ya kiswaga.hawajui kumbe wanaharibu lugha na jamii kwa ujumla.
 
It might be their style in Cloud Media, but I do not expect in a program like Jicho la Tatu to hear that Mchomvu's voice saying 'Bhaaaaas'.
Halafu issue herein siyo kuhama, mbona Abdul Mohamed na Milard Ayo pia wamehama and no one is complaining. Issue on table is such a decent middle aged presenter turning into hooliganism of XXL'ers and their allies, it irritating kwa kweli.

Irritating to you. Hivyo ndo unavyoona wewe, sio kwamba ndo universal truth. Pole kwa kukereka
 
since she left R1 she has
just become like her fellow workers at clouds radio, i used to admire
her back in the days but now i cant even waste my time listening to
her.to me she is just like any presenters at that radio, how low can
someone go.i was hoping to see her working with big, prestigious and
respectable media such as BBC, DSW just like flora nducha , charles
hillary etc but she let down many of her admirers and listeners.

I was among those admirers but not anymore.
 
Aliyesema clouds radio ya burudani ni muongo..ilikuwa radio ya burudani zamani enzi za kina jide, masoud, rayc na marehemu amina chifuta siku hizi ni redio ya majungu fitna na watu wenye akili finyu wanaojifanya kuchambua mambo wasiyoyajua wala kuwa na ufahamu nao ...mfano kipindi kama jahazi ushuzi mtupu...breakfast hakuna kitu mwenye akili bonge tu
 
Unampa wewe kula??
Maisha yake unataka kumpangia pa kula??
Wewe mtu akikupangia pa kula utamwambia anakufuatilia maisha yako
Wewe je akuiteje?

Umeteleza ndugu. Kama haya yanasemwa ujue yapo na anapaswa kujitafakari maisha yake. clouds na itv sio wazazi wake ila kipaji chake ndio maisha yake na anapaswa kukilinda
 
Mimi kilichonifurahisha ni kiingereza cha mtoa mada...inaonyesha na yeye alikimbia umande..kiingereza dhaifu kabisa kwenye muundo wa maneno! eg. "she was master"; "words which ruins"; "you was hosting";
 
Kwani do you think hakuomba ushauri alivyotoka radio one kwenda clouds

Au ulitaka aje akuombe wewe ushauri??

Jaribuni kuheshimu mawazo ya mtu wakuu so long as anafanya hivyo kwa maisha yake

Unasahau kuwa kuna stage ya maisha ya binadamu kila unalofanya (whatever the benefits you get) there is public limelight? Kwa mfano kama uchangu unalipa na Regina akaamua kuwa changu ungemuunga mkono just because anapata manufaa zaidi ya pesa? What about integrity?
 
Heshimu maamuzi ya mtu binafsi. yule ni mtu mzima, naamini hakulazimshwa kufanya vile
 
Mimi sikuamini niliposikia amehamia clouds fm
na nilimsikia anacheka cheka na Kibonde nilisikitika sana
sometimes people change hadi unasikitiika

Sote tuna njaa; taabu ni pale unapoiweka njaa yako kwenye TRANSPARENT chupa kila mtu kuiona....Kinachofuata ni maamuzi ya ajabu ajabu....
 
Nilichoona hapa suala si kuhama na kubadilisha kituo bali ile status ambayo Regina alikuwa nayo wakati yupo Radio One,kwa wanaomfahamu Regina wanaona fika kuwa kapotea njia kwenda pale hata kama atakuwa na mashali mazuri mbaya zaidi ile namna yake ya utangazaji imepotea na ndicho watu wanacholalamikia hapa,kama angekwenda na namna alivyokuwa kituo chake cha mwanzo basi mambo yangekuwa raha zaidi maana kama ni kujulikana alijulikana kutokana na utangazaji wake wakati yupo R One.
 
I remember her times back in Radio One, she had that beautiful voice (still has up to time) and she was master of her language.
Ever since she has moved to Clouds, she adapted that talking style of XXL and Zamaradis. To hell with that Kiswahili full of unnecesary words which ruins the flow of sentences. It has been a fashion these days, talking swagnifiently.
All the best Bi. Regina, but I promise you, you wont make it like back in those Wednesdays, when you was hosting country music programme in Radio One.
Mphamvu had to miss some classes just to hear your beautiful voice... Can we go back to those days mama?

...????? Hapo kwenye red ni Contradictions ama labda sijaelewa hiko kidhungu?????
 
Unampa wewe kula??
Maisha yake unataka kumpangia pa kula??
Wewe mtu akikupangia pa kula utamwambia anakufuatilia maisha yako
Wewe je akuiteje?

ukweli ndio huo,yule mama amechemka,alikuwa high class alipokuwa radio one,sikuhizi anazidi kusahaulika may be anamajukumu mengine tofauti na yale aliyokuwa anafanya radio one!pole sana mama angu
 
Mimi sikuamini niliposikia amehamia clouds fm
na nilimsikia anacheka cheka na Kibonde nilisikitika sana
sometimes people change hadi unasikitiika

kubadilika ni jambo jema, lakini alivyobadilika Regina ni kama amedidimiza kiwango chake. Nalikuwa shabiki wake mkubwa wakati yupo Radio one lakini tangu aingie Clouds kiwango kimezorota sana. Tofauti kabisa na Tido Mhando, jamaa aling'aa sana BBC, hata alipokuja TBC1 origino aling'aa vilevile. Wasiwasi wangu ni kuwa Regina alipokuwa Radio One kuna wataalamu walikuwa wanamfunda ili awe kiwango, huko Clouds pengine hana kungwi.
 
Back
Top Bottom