Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
kunani tena.
Kwetu hairuhusiwi kabisa kuiweka maiti siku zote hizo. Mtu akifariki tu jambo la kwanza ni kumsitiri na kumzika. Hakuna zaidi.

Ok poleni sana

Mmmmmh..,kweli hata kukupa jibu unalostahili naogopa sababu unaweza kujibu na kuwaongezea watu machungu..ila asante kwa
pole yako,kumbe wewe kama mwana JF haujauzunka au sio msiba wa kiongozi wako.!!!!!!!!.
 
RIP Regia Mtema, may the Amighty God rest you in eternal life.
 
RIP HON.Rejia,tuliumbwa kwa mavumbi,tutarudi mavumbini!bwana alitoa na bwana ametwaa!jina la bwana lihimidiwe.
 
RIP Da Regia. Ulikuwa mtetezi wetu sisi Watanzania wanyonge bila kuangalia Dini, kabila, rangi wala Jimbo. Tulikupenda, tulikuamini, na tulikutegemea katika kufikisha kilio chetu kwa hao watawala, lakini Muumba amekupenda zaidi. Umetutangulia kwenda kwa hakimu wetu wa haki, tunaamini siku moja tutakukuta huko maana kwake yeye ndipo lilipo tumaini letu sote. Bwana alitoa na Bwana alitwaa Jina lake libarikiwe.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون&#1614😉
Mtoa habari tuambie bana kuwa it is not true
 
Ni kweli Dada Regia katutoka. Yote ni mapenzi ya Mungu kwani uhai na uzima wetu sote u mikononi mwake. Katika hii dunia, hakuna aliyejua atakufa lini, maana hakuna aliyejua kuwa angezaliwa lini. Jambo moja ndilo niliaminilo; ya kuwa Dada Regia katutoka, lakini mbegu ya ukombozi aliyoisia katika Tanzania tutaitunza na kuipalilia hadi itakapotuletea matunda ya kweli. Viongozi wetu waige yale mema aliyoyaanzisha mwanaharakati huyu, kama njia ya kumuenzi.
RIP Da Regia. Ulikuwa mtetezi wetu sisi Watanzania wanyonge bila kuangalia Dini, kabila, rangi wala Jimbo. Tulikupenda, tulikuamini, na tulikutegemea katika kufikisha kilio chetu kwa hao watawala, lakini Muumba amekupenda zaidi. Umetutangulia kwenda kwa hakimu wetu wa haki, tunaamini siku moja tutakukuta huko maana kwake yeye ndipo lilipo tumaini letu sote. Bwana alitoa na Bwana alitwaa Jina lake libarikiwe.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون&#1614😉
 
mwenyezi mungu akupe pumziko la amani , mpendwa wetu regia mtema
 
R.I.P Mwanaharakati wangu Regia Mtema ........
 
Nina huzuni ya ajbu tangu juzi niliposikia habari hii ya kusikitisha sana! Na bado naona vigumu kuamini kama kweli mpendwa wetu Regia Mtema umetutoka! Pumzika kwa amani mpendwa wetu hakika tunakulilia sana!
 
Upumzike kwa amani Regia..Utabaki miyoyoni na vichwani mwetu daima na milele..
 
RIP Kamanda. your life has been like a candle in the wind. tunapoona mwanga tu upepo unazima. Mungu ni mwema!
 
kunani tena.
Kwetu hairuhusiwi kabisa kuiweka maiti siku zote hizo. Mtu akifariki tu jambo la kwanza ni kumsitiri na kumzika. Hakuna zaidi.

Ok poleni sana .

Umeshasema kwenu, fuata ya kwenu na waache watu wengine wafuate yao, hata kwenye msiba ni kukosoa taratibu za watu? ni lazima wafuate unayoamini wewe? muwe na heshima na taratibu za watu wengine as long as hazikuhusu! lazima u comment?
 
Rest in piace our sister,we will remember you forever!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom