Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.

Dahh,Mwenyezi Mungu,why this? machozi yananilenga,i dont think if i can get some spells of sleep tonight.
 
Mungu kwanini umeliruhusu hili litokee?? kwa nini BABA? kwa nini tusononeshw kiasihiki??...dada yangu umemwita leo katika makazi ya milele....Naomba baba umpemwanga wa milele umuangazie...na raha ya milele nakusihi baba umpe....

dada yangu alishiriki kifo cha krstu kwa ubatizo basi baba nakuomba ashirikipia na ufufuko wake...siku hiyo Mwili wake utakuwa kama Mwili wakoMtakatifu.....
dada yangu umeeenda...nenda dada yangu na pumzika salama......kwa kuwa Munguamekupenda zaidi mimi sina jinsi isipokuwa kukuombea zaid........

 
posti zigine utadhani ni mwehu kaandika
sorry si ewewe namkosoa unaemkosoa
huyo anayesema mkono mmjoja unapost jf
km mwendawazm vile
mtu kama huna la kusema soma sepa

nimekupata dada yangu,ni kama bata anapita then anaacha uharo bila hata mwenyewe kujijua
 
Regia umejitenga, kufa umetangulia
Kama ua umefunga, baada ya kuchanua
Nakuombea mwanga, peponi kukubaliwa,
 

ni kweli mkuu,nimeona post ya mama Josephine anasema msiba upo tabata nyumbani kwa baba yake mzazi somewhere barakuda na yeye alikuwa kwenye msafara from Tumbi to MNH,swala la rambirambi nadhani JF mgt watupe mwongozo.
 
Mungu alitoa, Mungu ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amina
 
ingawa wote tutarejea kwa Mola, ila kuna vifo vinashtusha sana, its like a candle in a the wind.

Rest in peacie Regia Doto, bila shaka ulishasamehe kama niliwahi kukwaza, tangu enzi za Gendersensitive, tupo pamoja hata kama tulikuwa itikadi moja na mitizamo tofauti. Rest in Peace.
 
Inategemea uko wapi, kumbuka tofauti za masaa... Kama uko Suomi kumbuka kuna tofauti ya saa moja na Bongo kwa wakati huu wa 'talvi' (baridi).
Kiitos!! Japo sijaona tofauti hiyo ikitokeza hapa JF!! Pia kwa upande wangu ilikuwa zaidi 'jitihada' ya kutokukubaliana na reality!
 
Nilisikia habari za kifo cha RM kwenye car stereo wakati naendesha hapa mjini. Ilinibidi nisimame kwa dharura. It was so shocking and unbelievable! Machozi yakanitoka kwa muda.

Sijawahi kuonana na huyu dada, ila wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu niliwasiliana naye kwa njia ya simu.

RIP Regia.
 
Ewe Mwenyezi Mungu tunakuomba uiweke mahela pema Peponi roho ya mpiganaji wa wanyonge.....na uwape subra na imani wafiwa
 
Duh! Rest in Peace Sister na Mpiganaji. May God give u eternal happiness. Poleni Wanafamilia, Chadema na JF kwa ujumla. Pia pole kwa vijana wote wapendao mabadiliko Tanzania. As we are all light creatures, made in the likeness of God who is light, may you light shine forever.
 
Siku inakaribia kwisha lakini bado naomba itokee taarifa kwamba ni misunderstanding iliyotokea Regia did not die 🙁 I cried all day all nite!! Regia kwaheri Kamanda wangu, tulikupenda sana, ujasiri wako hautasahaulika.Mungu akupe pumziko la amani.
 
R.I.P Kamanda wetu, Utakumbukwa daima kwa jinsi ulivyojitoa kuleta mabadiliko nchini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…