Wakuu nani aseme hali ilivyokuwa na ikibidi atuwekee gari jinsi ilivyopata ajali na mpaka sasa gari iko wapi na yeye kapelekwa wapi,mimi nimepokea sms kutoka Mwanza kwa mwanachama wa CDM ila nikaamua kufungua machine nichek ndo nakutana na hii hali,jamani Mungu huyu!
..Ni saa 13:48 naenda chumbani nilikoacha simu inachaji. Naangalia simu, naona kuna ujumbe kutoka 1556. Mara moja natambua kuwa ni Radio One Stereo Breaking News. Kufungua ujumbe, napata habari mbaya na ya kusikitisha na mpaka sasa nipo najilazimishakwa tabu kachozi kasiniporomoke. Regia, hukusubiri hata januari ipite? RIP.
she didnt live to see true independence,but regia,i tell you this,.come 2015 you will be smiling from heaven,we will make you proud,.in ash we came in ash we shall return,ashes to ashes dust to dust,i hope you hear us now in god we trust.
Oh Mungu Wangu!!!
Umepataje ujasiri wa kupost habari hii. Kama ni kweli amekufa muda mzuri ninaamini amepokelewa kwa kazi nzuri aliyokuwa anaifanya ya kuwatetea wanyonge na kutoa taarifa ya kazi alizozifanya.
Ingawa kufa/kufiwa ni kitu cha kawaida, lakini kifo cha ghafla hustua watu wengi. Nawapa pole sana woote walioguswa kwa namna moja au ingine na msiba huu. Sisi sote ni waja wa MWENYEZI MUNGU na kwake tutarejea. Kazi ya MUNGU haina makosa.
Cna maelezo yakutosha kueleza, jinsi ninavyojisikia...dada Regia sasa ni mara ya pili unanisababishia maumivu ya roho, cku ya kwanza nipale uliponyimwa ushindi mchana kweupe na kupewa mgombea wa ccm,bwana Mteketa. Cku ya pili ndo leo...roho inaniuma cna maelezo RIP dada Regia.
Wote tunaishi kwa muda tu katika mji huu usiodumu. Na wote tutakwenda kwenye mmji udumuo siku moja.
Kinachouma ni kutangulia, umetangulia Regia ilhali bado jamii inakuhtaji na familia pia.
Rest In Peace Regia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.