Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

There are currently 103 users browsing this thread. (25 members and 78 guests).... Guests hamtamani kuchangia???
 
Tutakunywa maji sasa, kuna demu tuko naye ofisi jirani toka mashindano yaanze na kushinda kajimbo kamoja ka hapa jijini hata salamu ziliisha kabisa, nafikiri hata simu tuliwekwa kwenye reject!

Kawa namba 27 kati ya hao 30 (in particular order).

Bongo Haters! Karibu tena.
 
Ha ha ha! Yaani unataka umchape mwenzio na yeye amekariri desa lililokosewa! Amedai Mandela ambae ni rais wa SA amefungwa miaka 24 iliyopita! Ha ha ha... Unajua alisoma kwa kiingereza sasa alipotafsiri maana ikavurugika!
Yaani nimesikitikaa! We acha tu, utadhani ni mdogo wangu! Haya ndio matokeo ya kina Mulugo!
 
Mrs marie Stopes.....huyu mzungu kalewa nini..........
 
Unadhani ndugu zake waliokuja kumshangilia watamuacha? kawadhalilisha, maswali wiki nzima kashindwa kujipanga? Tena kwa Kiswahili yani ni mzembe kupitiliza.
Hapo ndio tujiulize watoto wanafanya nini miaka 7, 4 na 2 shule! Sijui kasoma shule gani? Halafu baada ya muda utakaona kwenye magazeti kanauza sura eti ka superstar ka bongo movie!
 
Tutakunywa maji sasa, kuna demu tuko naye ofisi jirani toka mashindano yaanze na kushinda kajimbo kamoja ka hapa jijini hata salamu ziliisha kabisa, nafikiri hata simu tuliwekwa kwenye reject!

Kawa namba 27 kati ya hao 30 (in particular order).

Bongo Haters! Karibu tena.

Haha nahisi ulikua unafunga na kuomba asiingie walau top 15
 
hebu mwaJ na charminglady.....niambieni nipake nini na mimi ning'ae kama hao ma miss.....mbona kila mmoja mweupe........?
 
Last edited by a moderator:
shost ulipotea....mpaka Miss aboronge ndio utokee.....haya niambie Boflo anatumia ID gani.....maana.....mmmh.......
Nipo shost! Sometimes huwa natumia muda mwingi kuwasoma wenzangu naona uvivu kuchangia. Ila hako kabinti kamenikera mpaka nikachangia! Hivi kweli Boflo kapotelea wapi best? Au ulimwacha kwenye jumba la Mbezi Beach nini? Itabidi tuanze kazi ya kumtafuta best wetu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom