Reception ya Mboni

Binti1

JF-Expert Member
Jul 8, 2013
662
1,745
Katika matukio yaliyotrend week iliyopita moja wapo ni wedding reception ya Mboni Masimba,mwanamama machachari mwenye kipindi chake TBC -Mboni talk show.
Mboni aliolewa na bwana Tajiri mwezi mmoja ama miwili iliyopita na honeymoon pia alipost.
Weekend iliyopita ndonkafanya reception.....
Kuna mantiki gani yankufanya reception mwezi mmoja baada ya ndoa?
Maintaining status?
Setting a trend?
....????
Kila la Kheri Kwake...ndoa za ukubwani zina raha yake. Ukishakula ujana unatulia uzeeke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom