Rebranding Tanzania: Hongera Rais Samia, ni dhahiri Tanzania inaenda kuonekana kwenye ramani ya Dunia kiuchumi

Hapana katiba siyo msahafu!

Kama atafanya vizuri lazima atawale hadi achoke maana tunataka nini tena watz?

Hili hata wapinzani wameunga mkono
Acha kujitoa ufahamu wewe. Mama yuko vizuri ila tutaheshimu katiba
 
Nadiriki kusema, kwa uzoefu wangu kuanzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Samia ndo anaweza kuwa Raisi visionary zaidi tena positively Kwa kuangalia dunia inavyoenda kuliko wengine wote.
Hana kiburi mpaka dakika hii na hana zile akili za kutaka kumkomoa mtu.

Akishirikiana na Mulamula wanaweza wakajenga ushawishi mkubwa utakaziinua sekta nyingi za Tanzania.
 
program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni
Sahihisha: Rais hajabuni program yoyote bali ameingizwa kwenye biashara za int'l media zilizoona fursa ya biashara Tanzania katika context ya win-win benefits.
 
Sahihisha: Rais hajabuni program yoyote bali ameingizwa kwenye biashara za int'l media zilizoona fursa ya biashara Tanzania katika context ya win-win benefits.
Kilichowavutia hayo makampuni ya news ni kwa kuwa yeye ni Mwanamke Rais ...
 
Sahihisha: Rais hajabuni program yoyote bali ameingizwa kwenye biashara za int'l media zilizoona fursa ya biashara Tanzania katika context ya win-win benefits.
Naona unateseka sana ukisikia Mama Samia amebuni.

Tafuta tu juice ya ndimu unywe
 
Kilichowavutia hayo makampuni ya news ni kwa kuwa yeye ni Mwanamke Rais ...
...and therefore their business stock? Sijui kwa nini Watanzania hushindwa kuona rangi zote saba za mwanga? Aliyeona fursa, kupanga na kuitumia ndiye atakayenufaika na hiyo biashara?
 
...and therefore their business stock? Sijui kwa nini Watanzania hushindwa kuona rangi zote saba za mwanga? Aliyeona fursa, kupanga na kuitumia ndiye atakayenufaika na hiyo biashara?
Usijaribu kumuelewesha mtu aliyezoea kuwa brainwashed na kuaminishwa uongo kuwa ukweli.
 
Kwani shida iko wapi?? Acha wenye akili na maono watuongoze vizuri sasa!

Mnajifanya wazalendo wakati akili hamna, hadi vinchi vidogo Kama Rwanda vinakuwa vinatuzidi kiubunifu na kutafuta maendeleo
Wacha hasira, hiyo ni alert tu umepewa, punguza kusifia kama mlevi hata kabla matunda ya unachokisifia hayajaonekana, mambo ya uchumi sio issue ya usiku mmoja.
 
Back
Top Bottom