Abeeeeeh!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yangu we acha tu.,awa watoto wanatulaza saa nane leo
Dah madrid washachokaBrahim na Luka wameingia, na bado sijaona impact yao mpka sasa., acha tuone muda huu wa nyongeza.
Jamaa anaonekana amechoka sana., yeye na Vini ndio walipaswa kutoka, sema anabaki kwa ajili ya ulinziBellingham ndo alipaswa kutolewa kabla ya Rodrygo sijui kwanini coach hamtoi[emoji2365]
Shida anazunguka sana kila mahali yupo lazima pumzi ikate, Madrid baada ya kupata goal waliridhika sana tatzoJamaa anaonekana amechoka sana., yeye na Vini ndio walipaswa kutoka, sema anabaki kwa ajili ya ulinzi
Wapiiiii?Jamani kimeumana huko
Mordic alipaswa kuingia mapema atlist yy ndo anapandisha tim,Jamaa anaonekana amechoka sana., yeye na Vini ndio walipaswa kutoka, sema anabaki kwa ajili ya ulinzi
usiwe na wasi tunatoboa hapa, sometimes milingoti ya goli inageuka goalkeepertujipange tena kwa msimu ujao still anceloti has to go
Madrid needs a new tactical man to fight with pep bila hivo tutaishia hapa hapa na kutegemea miujiza na historia