pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,273
- 3,808
Miltao nasikia yupo fit sa hv.Hata usiwe na shaka man, game iliyopita alicheza kama beki wa kati., shida ni kwamba ni nani ataanza pamoja na Rudiger? Hapo ndipo kwenye changamoto., ila kati Camavinga, Kroos na Valverde watahusika kwa mara nyingine