Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,231
- 1,537
Moment ambazo huwa nazichukia kwenye mpira ndo kama hizi sasa!
hiii [emoji121]Madrid 1% Man city 99% chance
its Madrid against the world as always its football heritage
and we will always be kings of this championship
dah ukiwa na roho nyepesi unaweza kata tamaa ila nimejifunza kuto wa doubt timu yangu kama nilivo tabiri mwanzo ni mpaka mwishoMadrid only need 1% of lucky to win it all
Halla Madrid best luck [emoji836]
Mtu unajikuta unabana mpaka p*m*u 😂Looh., nitulie sasa., kajasho kananitoka hapa utadhani nilikuwa ninacheza Mimi
Jamaa anadefend to the last huyu mwamba ni beastRudiger ana sura ya kijambazi
View attachment 2966849
Dah!mwanangu,mtu unakamua mechi huku umesimama aiseeMtu unajikuta unabana mpaka p*m*u 😂
Unakata tamaa mapema mpira dakika tisini sheikh na penati hazina mwenyewetujipange tena kwa msimu ujao still anceloti has to go
Madrid needs a new tactical man to fight with pep bila hivo tutaishia hapa hapa na kutegemea miujiza na historia
Hahaha., tumewarudishia sasa mtu wenu mkapambane huko sasa., shida mtaweza kumzuia asichukue Kombe?Afadhali Madrid wamenifuta machozi, Guardiola angefuzu ingekuwa fedheha kubwa.
Turudi kugombea EPL sasa.