Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Unakata tamaa mapema mpira dakika tisini sheikh na penati hazina mwenyewetujipange tena kwa msimu ujao still anceloti has to go
Madrid needs a new tactical man to fight with pep bila hivo tutaishia hapa hapa na kutegemea miujiza na historia