Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mvaa Kobazi umesaema ukweli mfano halisi vibanda umiza hapa bongo uweke Ac milan Vs Gerona Saa 2 usiku halafu baadae Arsenal na Hull city ,mechi ya kwanza pamoja na kuwa na advantage ya muda mzuri lakini inaweza ikawa bure na uhakika kuwa na mahudhirio machache .

Mfano kama huo unakuja hata kwa Barcelona au Real Madrid wakicheza na timu ndogo mashabiki ni wachache kucompare na timu za uingereza na hilo halipingwi isipokuwa ubishi tu.
 
Ndio maana nikasema bongo hakuna mashabiki pure wa La Liga ila. Ila kuna mashabiki tu wa EPL timu zao zinasuasua hivyo wakaamua kujipoza kwa kushabikia Barcelona na Madrid sababu timu za EPL nyingi zinasuasua UEFA.

👉NI NADRA KUMKUTA SHABIKI WA MADRID/BARCELONA HANA TIMU ANAYOSHABIKIA EPL. ILA NI KAWAIDA KUMKUTA SHABIKI WA EPL HASHABIKII MADRID/BARCELONA.
 
Unalazimisha tu.

Mimi binafsi nakushangaa kwa maana sijawai kushangilia EPL sina timu huko na sina hata mpango wa kuwa nayo.

I'm pure cule's.
 
Unalazimisha tu.

Mimi binafsi nakushangaa kwa maana sijawai kushangilia EPL sina timu huko na sina hata mpango wa kuwa nayo.

I'm pure cule's.
Sijalazimisha ndio maana nikasema ni "nadra". Wachache kama wewe ni excepton case.
 
Carlo Ancelotti will STAY as a Real Madrid manager next season.
Benzema, Modric and Kroos will REMAIN
Real Madrid’s squad will largely stay the same. There will be 3 incomings.

Benzema , modric na kroos wanamalizia mwaka wao 1 hapo madrid hadi next summer.

Ila kroos na modric new contract itawapa muda mchache zaidi wa kucheza na wamekubali ilo
 
Next season tutakuwepo UCL nimatumaini yangu tutakutana na EUROPEAN GIANTS tena kama MAN CITY PSG CHELSEA BUYERN JUVENTUS MILANOS BARCA ATLETICO MADRID DORTMUND LIVERPOOL ARSENAL MAN UTD NAPOLI ROMA je tumejipanga vipi kusajili na kurekebisha makosa
Ukiangalia taarifa za kwenye vyombo vya habar kuna maboresho yatakuja,ni kama tulivyojadili kwenye jukwaa hili..kwanza kusajili beki za pembeni ikiwa hata Mendy atabaki,Modric na Kroos watakuwa wanacheza dakika chache kwa ajili yakuruhusu damu changa icheze sana,Benzema anatafutiwa mbadala wake.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Cafu: "I am afraid, the more we have Brazilians moving to the Premier League, the less chances for Brazil to win the World Cup. Imagine being brainwashed by the media every week that you are the best in the world, meanwhile you are not near the best.

I prefer La Liga, because they have high mentality to reach finals and win them. In La Liga they don't have a mouth in front of TV cameras telling lies about Spanish players or hyping them to the world. They speak football there, not myth.

I overheard them saying that the Liverpool right back is in my level in that right back position. I didn't want to debate , because I knew Vinicius will show the World the truth and he did in Paris.” What’s your thoughts on what Cafu said after last seasons Champions League final?

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom