pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,273
- 3,808
Kwa muda sasa unajua tumekosa mtu sampuli ya Ozil,yaan namba kumi ambayo inaweza kutoa pasi mchomoko foward akabaki na kipa,yaan zile pass zakupasua ngome ya adui,tunatumia winga sana.Don Carlo abaki tufanye usajiri wa baadhi ya maeneo , striker backup ya Benzema, RB, LB, na number 10
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app