Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Sasa tumekubaliana shabiki wa city kama ni hawa wa age ya 18's to 20's anauhalali wa kuitwa DIE HARD FAN. Ila kama ni wa age ya 30's to 40's itoshe kumuita GROLY HUNTER.
Hahahaha, mkuu kuna shabiki wa city bongo yupo kwenye 40's ? Hata kwenye 30's ni ngumu.

Hao ni glory hunters tu hakuna ubishi, city fans OG wapo 20's kurudi chini.
 
Na eneo la kiungo,goli mbili za kwanza zimetokea kwa kroos,kroos alikuwa na Benardo,akamuacha hata kumzuia asipige hakufanya hivyo,akamuacha akapokea mpira akafunga,la pili kwa modric kasimama bernado anatoka anaenda kucheza mpira tunafungwa.

Ni maswala ya umri nakwa sababu wameshinda kila kitu,ile mizuka haipo tena.

Cha pili ushambuliaji,Benzema kwa muda sasa hayupo kwenye ubora hata wa 80%,mpira haukai mguuni,ile control hana na hata namna yakurespond kwa wenzake akiwa na mpira kwa sasa ni low sana.

Eneo lingine ni beki za pembeni na kati,pembeni hatuna mbadala ndo maana tunamrudisha camavinga acheze kushoto ilihali kulia nako akiumia Carvajall basi hatuna mtu mwingine.

Game ya jana kupoteza ni matokeo ya Carlo kupanga kikosi kile kile na style ya uchezaji ule ule wakat mwenzako misimu kadhaa nyuma ukijumlisha na uliopita unakuwa unamtoa kila mara,na unaona anakusoma ilihali sisi hatubadiliki,huwez kumtegemea Benzema au Kutegemea mipira ya vichwa/cross ilihali City alienda sokoni kununua wachezaji wa nyuma warefu,ilitakiwa pale after first leg tujifunze kuwa ile style imefail tuje na mpango mpya wakutawala eneo la kati.

However,hatuumii kufungwa na City ila tunaumia kupoteza ubingwa wetu huu wa UCL katika hatua hii ya nusu fainali na ikumbukwe hili kombe ni haki yetu nani letu na pia ndio historia yetu na ubora wetu, na ndio maana ni club bora duniani kwa karne tatu kama siyo nne mfululizo na ndio maana huwa tunalibeba back to back as much as we can.

Halla madrid.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Nunue wachezaji sasa
 
Ipo hivi.
Mtu ambaye yuko kwenye 30+ anashabikia city kuna mawili.

1. Amehama timu
2. Kama hakuhama basi alichelewa kushabikia mpira.

Sababu ni ngumu kusema mtu ambaye ameanza kufatilia mpira miaka ya 2002-2008 aliipenda city kipindi hicho, huo ni uongo, city haikuwa na mvuto wowote kipindi hicho.

Mashabiki wa city ambao ni original and die hard hawakuhama timu wapo, kwenye teenage na early 20's sababu kwa umri huo, wamekua katika kipindi ambacho city inafanya vizuri kama tu ilivyo kwa walioanza kushabikia man utd, arsenal kwenye miaka hiyo ambayo ndio zilikuwa zinafanya vizuri.

Sio kila shabiki wa city ni glory hunter.
Akichelewa kushabikia kuna ubaya?
 
Hahahaha, mkuu kuna shabiki wa city bongo yupo kwenye 40's ? Hata kwenye 30's ni ngumu.

Hao ni glory hunters tu hakuna ubishi, city fans OG wapo 20's kurudi chini.
Sasa hii ina shida gani hata kama ni glory hunters??? Au unawapangia?
Inakuuma nini?
Kuna shida gani akiwa glory hunter??
Au ndo inabadilisha matokeo ya 4 bila??
 
Sasa hii ina shida gani hata kama ni glory hunters??? Au unawapangia?
Inakuuma nini?
Kuna shida gani akiwa glory hunter??
Au ndo inabadilisha matokeo ya 4 bila??
Brother mbona unaleta vitu ambavyo ni nje ya kilichokua kinajadiliwa?
Wapi nimesema naumia?
Wapi nimesema mtu kuwa glory hunter ni shida?
 
Akichelewa kushabikia kuna ubaya?
Mkuu, tulichokua tunajadili na murashan galactico sio ubaya au uzuri wa mtu kuchelewa kushabikia mpira.

Tulichokuwa tunajadili ni scenarios ambazo zimepelekea kuwepo kwa mashabiki wa city bongo, hapo inabidi tuelewane.
Mtu kuchelewa au kuwahi hiyo ni juu yake.
 
Mkuu, tulichokua tunajadili na murashan galactico sio ubaya au uzuri wa mtu kuchelewa kushabikia mpira.

Tulichokuwa tunajadili ni scenarios ambazo zimepelekea kuwepo kwa mashabiki wa city bongo, hapo inabidi tuelewane.
Mtu kuchelewa au kuwahi hiyo ni juu yake.
Izo scenario zina shida gani ukizijua?
 
Back
Top Bottom