Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao

Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu
Hii timu huenda ni mashabiki wa arsenal ambao wanatafuta pa kuonjea ladha ya uefa ndio wakaamua kuja kujificha humu.
 
Unawasikia eti wanajitapa wenyewe mashabiki wa La Liga. Humu wote wana timu zao za EPL ila ni glory hunters tu wanaoshabikia Madrid sababu inafanya vizuri UEFA tu.

Bongo hakuna mashabiki wa La Liga ukitaka kuamini hakuna kibanda umiza TZ kinachoonesha mechi za La Liga tofauti na El classico
Mashabiki wa arsenal hawa, wametafuta pa kupozea ukame wa kucheza uefa ndio wanakuja humu kujiita mashabiki wa madrid kwa ID zingine.
 
Kwan Kuna shida? Kwa taarifa Yako vibe la kibanda umiza Huwa Lina ladha yake binafsi Nina tv na kingamuzi kinachoonyesha hizo mechi ila wakat wa mechi lazima niwepo kibanda umiza to feel the vibe of the game.
Hawa humu wanajikuta madon kwamba vibanda umiza kwao ni kitu cha ajabu.
 
Jana Walker alikuwa hatari hapitiki na ukitaka kupita tu anaingia chini ya uvungu yaani ni hatari ila jana City na hata mwaka jana pamoja nakutolewa lakini kila mtu alikuwa anaona City walikuwa bora tukiacha mwaka huu ila Real hawakusoma zile alama ni kweli walipita lakini kisoka hawakuwa level ya city na leo kiukweli hata 4 washukuru maana zingekuwa 6+.
 
Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao

Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu
Wewe unongea tu kuna mashabiki wa hiyo timu wengi tu. Mfano mimi ni shabiki wa Barça na hakuna mechi ninayokosa kuitazama ni chache sana huwa zinanipita
 
Well said shabiki wa man city kizazi cha sasa hapa bongo ni watoto waliopo under 14 ila 20's to 100's hapa bongo huwezi mkuta ni die hard fan wa city.
Tumetepeta sana leo los blancos
Hivi nyie mpira ukishawashinda mnaanza kuwawaza mashabiki wa city tu? hii tabia nimeiona jukwaa la arsenal that's why nasema humu ni kumejaa arsenal fans ambao wamekuja humu kujipoza na ukame wa uefa.
 
Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao

Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu
Bro una jilinganisha wwna watu wengine.
Back in days miaka ya 1998 kulikuwa na haya madish ya satelite makubwa kulikuwa na chanel nying aseee nilikuwa naifatilia madrid kupitia chanel za uarabuni from those days nimekuwa naifatilia madrid tangu zama izo. Kilichonifanya kuipenda ni kuwa na idadi kubwa ya Brazillian players.

Man city fans ambao wameijua man city alipokuja gurdiolla otherwise wameanza kuijua ni siku za mwisho za Pellegrin.
Man city ile ambayo ilikuwa inachakazwa hata na Middlesbrough 8 kwa 1 ni wachache walioko humu walifanikiwa kuiona.

Siku zote huwa naheshimu nikute kijana mdogo ni die hard fan wa
LIVERPOOL
AC MILLAN
INTER MILAN
ROMA
.
.
.
Na clubs kama izo nikiamini kabisa hizo clubs mtu atakuwa ameziona kwenye peak ya mafanikio tangu zamani.
Eti nikutane na shabiki wa cityzens hapa bongo leo itis obvious huyo anaukame somewhr kwenye club yake sasa anakuja kuupooza kwa city.

Yote tisa kumi jana city alikuwa bora sana tusingewezakufanya chochote.
 
Hivi nyie mpira ukishawashinda mnaanza kuwawaza mashabiki wa city tu? hii tabia nimeiona jukwaa la arsenal that's why nasema humu ni kumejaa arsenal fans ambao wamekuja humu kujipoza na ukame wa uefa.
Huko EPL nimechelewa sana kufika before nilikuwa la liga na UEFA sikuwa na acsess na ushabiki wa EPL hadi nilipoijua la liga kupitia channel za satelite. EPL nimeanza kuwa na interest nao kipindi cha CLAUDIO RANIERI akiwa chelsea from date to date nikaanza kuifatilia.
 
Bro una jilinganisha wwna watu wengine.
Back in days miaka ya 1998 kulikuwa na haya madish ya satelite makubwa kulikuwa na chanel nying aseee nilikuwa naifatilia madrid kupitia chanel za uarabuni from those days nimekuwa naifatilia madrid tangu zama izo. Kilichonifanya kuipenda ni kuwa na idadi kubwa ya Brazillian players.

Man city fans ambao wameijua man city alipokuja gurdiolla otherwise wameanza kuijua ni siku za mwisho za Pellegrin.
Man city ile ambayo ilikuwa inachakazwa hata na Middlesbrough 8 kwa 1 ni wachache walioko humu walifanikiwa kuiona.

Siku zote huwa naheshimu nikute kijana mdogo ni die hard fan wa
LIVERPOOL
AC MILLAN
INTER MILAN
ROMA
.
.
.
Na clubs kama izo nikiamini kabisa hizo clubs mtu atakuwa ameziona kwenye peak ya mafanikio tangu zamani.
Eti nikutane na shabiki wa cityzens hapa bongo leo itis obvious huyo anaukame somewhr kwenye club yake sasa anakuja kuupooza kwa city.

Yote tisa kumi jana city alikuwa bora sana tusingewezakufanya chochote.
Umemaliza kila kitu mkuu. Binafsi ni mshabiki wa Ac Milan, nlianza kuipenda tangu nikiwa mdogo miaka ile tupo kwenye ubora wetu. Nawaangaliaga sana wanaojifanya mashabiki wa Man city bongo, ni watafuta faraja tu
 
Kipindi kile kwa hakika alipata mbeleni nyingi.
Tena sana yan walikua wao ndo wao.

Wazee wa Dna hawaamin wanachokiona ... Walikua wanakwambia wao wakifika hatua izi sio home wala away wao ni kichapo tu.. Wanakajua mpr una mazoea

Yan mtu awe na quality na ubora wa kikosi wao kwa kua wanajua kila mara ni bahat nasibu tu.. Hata bahat na nasibu wnyw inafika sehem wanachoka nao.
 
Pep kawaonesha Los Blancos kua mpr wa kuunga unga sasa mwsh.

Wazee wa Dna safar imewakuta tena kwa Aibu mbya sio tu kufungwa mtu unafungwa unatoka umeridhika kbs unafurah tu mwnyw kua kwl nimefungwa vzr kwa burudan tosha
 
Umemaliza kila kitu mkuu. Binafsi ni mshabiki wa Ac Milan, nlianza kuipenda tangu nikiwa mdogo miaka ile tupo kwenye ubora wetu. Nawaangaliaga sana wanaojifanya mashabiki wa Man city bongo, ni watafuta faraja tu
Sasa huwa mnasema mashabiki wa city ni watoto wa 2000's ...sasa mtoto wa 2000's ulitegemea awe shabiki wa timu gani?
Yani mtu mwenye 16-20 akikwambia anashabikia city wewe hapo unashangaa nin?
Wewe ulipokua mdogo ukaipenda milan ni sawa ila yule aliyeipenda city ni mtafuta faraja?
 
Bro una jilinganisha wwna watu wengine.
Back in days miaka ya 1998 kulikuwa na haya madish ya satelite makubwa kulikuwa na chanel nying aseee nilikuwa naifatilia madrid kupitia chanel za uarabuni from those days nimekuwa naifatilia madrid tangu zama izo. Kilichonifanya kuipenda ni kuwa na idadi kubwa ya Brazillian players.

Man city fans ambao wameijua man city alipokuja gurdiolla otherwise wameanza kuijua ni siku za mwisho za Pellegrin.
Man city ile ambayo ilikuwa inachakazwa hata na Middlesbrough 8 kwa 1 ni wachache walioko humu walifanikiwa kuiona.

Siku zote huwa naheshimu nikute kijana mdogo ni die hard fan wa
LIVERPOOL
AC MILLAN
INTER MILAN
ROMA
.
.
.
Na clubs kama izo nikiamini kabisa hizo clubs mtu atakuwa ameziona kwenye peak ya mafanikio tangu zamani.
Eti nikutane na shabiki wa cityzens hapa bongo leo itis obvious huyo anaukame somewhr kwenye club yake sasa anakuja kuupooza kwa city.

Yote tisa kumi jana city alikuwa bora sana tusingewezakufanya chochote.
Swali unashabikia timu gani EPL? (najua unayo unayofatilia). Hapo ndio hoja yetu ilipo mkuu kuwa Madrid ni second choice yenu mmefuata glory ya kushangilia UEFA ikiisha nyinyi ni GLORY HUNTERS.UEFA ikiisha mnarudi timu zenu. BONGO HAKUNA MASHABIKI WA LA LIGA.
 
Back
Top Bottom