Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Inashangaza sana mkuu, me huwa najiuliza, mpaka mtu kuwa shabiki wa liverpool,madrid, man utd, milan, walianzaje kwani wao?Mimi nawashangaa waulize wenyewe walianzaje kushabikia timu wanazoshabikia. Wenyewe sawa ila sisi kushabikia City wana-raise hoja mfu
Yani mtu kwenye udogo wake miaka ya 2000-2003 kaipenda arsenal au man utd lakini anakuja kumshangaa mtu ambaye kwenye udogo wake miaka ya 2009-2012 kaipenda man city.
, hakuna tena cha kubishania