Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wanasema huwa mnafunga dakika za mwishoni ngoja tuone

Acheni kukaririiii

We are the cityzens
 
Basi,imetosha...hatuwezi pindua meza hapo...tujipange for next msimu,tutafute beki zakushoto na foward maana Benzema anahitaji msaidizi wakueleweka,unaona kabisa anachechemea ila kwenye benchi utamuingiza nani sasa?

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
NAOMBA WANA MADRID MTULIE TULI KAMA MLIVYO DAWA IWAINGIE VIZURI KABISA. NAWAKUMBUSHA TU, ACHENI KUKARIRI MPIRA. Eti "madrid hana home wala away
 
Heko Madristas

It’s over tujipange next season. Nafikiri bench letu sidhani kama litabaki hivi hivi. Tulikua na mentality ya kuogopa game so we deserve kupoteza

Kutesa kwa zamu kama wao tulivyowatesa msimu ulioisha ni vile pia wametutesa sie. Kikubwa tuko hai na salama

Tukutane kumaliza laliga
 
mmewatesa nini mlikuwa na zali tu
 
Heko Madristas

It’s over tujipange next season. Nafikiri bench letu sidhani kama litabaki hivi hivi. Tulikua na mentality ya kuogopa game so we deserve kupoteza

Kutesa kwa zamu kama wao tulivyowatesa msimu ulioisha ni vile pia wametutesa sie. Kikubwa tuko hai na salama

Tukutane kumaliza laliga
Tunajipanga vyema kwa msimu ujao..

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Team haliwezi hata kupossess mpira ,et kuvizia counter attack ...

Carlo anabebwa na bahati tu ,last season amshukuru Mungu wake ...

Pep >>>>>Carlo

Haya rudini kwenye team zenu vibwengo nyie

Kulikon tena mbona namatus juu
 
Back
Top Bottom