Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bro una jilinganisha wwna watu wengine.
Back in days miaka ya 1998 kulikuwa na haya madish ya satelite makubwa kulikuwa na chanel nying aseee nilikuwa naifatilia madrid kupitia chanel za uarabuni from those days nimekuwa naifatilia madrid tangu zama izo. Kilichonifanya kuipenda ni kuwa na idadi kubwa ya Brazillian players.

Man city fans ambao wameijua man city alipokuja gurdiolla otherwise wameanza kuijua ni siku za mwisho za Pellegrin.
Man city ile ambayo ilikuwa inachakazwa hata na Middlesbrough 8 kwa 1 ni wachache walioko humu walifanikiwa kuiona.

Siku zote huwa naheshimu nikute kijana mdogo ni die hard fan wa
LIVERPOOL
AC MILLAN
INTER MILAN
ROMA
.
.
.
Na clubs kama izo nikiamini kabisa hizo clubs mtu atakuwa ameziona kwenye peak ya mafanikio tangu zamani.
Eti nikutane na shabiki wa cityzens hapa bongo leo itis obvious huyo anaukame somewhr kwenye club yake sasa anakuja kuupooza kwa city.

Yote tisa kumi jana city alikuwa bora sana tusingewezakufanya chochote.
Halafu hii nadharia ya kusema kuwa kila shabiki anayeshabikia City
basi amehamia kutoka timu "X" nayo pia mashiko. Baadhi wamehamia ila sio wote.
 
Sasa huwa mnasema mashabiki wa city ni watoto wa 2000's ...sasa mtoto wa 2000's ulitegemea awe shabiki wa timu gani?
Yani mtu mwenye 16-20 akikwambia anashabikia city wewe hapo unashangaa nin?
Wewe ulipokua mdogo ukaipenda milan ni sawa ila yule aliyeipenda city ni mtafuta faraja?
Mimi nawashangaa waulize wenyewe walianzaje kushabikia timu wanazoshabikia. Wenyewe sawa ila sisi kushabikia City wana-raise hoja mfu😃
 
Swali unashabikia timu gani EPL? (najua unayo unayofatilia). Hapo ndio hoja yetu ilipo mkuu kuwa Madrid ni second choice yenu mmefuata glory ya kushangilia UEFA ikiisha nyinyi ni GLORY HUNTERS.UEFA ikiisha mnarudi timu zenu. BONGO HAKUNA MASHABIKI WA LA LIGA.
Umekalil vibaya mkuu SPANISH LA LIGA ndo my first choice tangu 1998.
Hapo EPL utanikuta nipo the blues tangu enzi za claudio Ranieri
 
Sasa huwa mnasema mashabiki wa city ni watoto wa 2000's ...sasa mtoto wa 2000's ulitegemea awe shabiki wa timu gani?
Yani mtu mwenye 16-20 akikwambia anashabikia city wewe hapo unashangaa nin?
Wewe ulipokua mdogo ukaipenda milan ni sawa ila yule aliyeipenda city ni mtafuta faraja?
Kwa waliozaliwa 2000's ni sahihi unachosema. Sababu ule msimu wa 2010-2011 ambao City alichukua Epl dakika ya mwisho kwa goli la kihistoria la Aguero vs QPR ni mwaka ambao waliozaliwa 2000's ni kama ndo walianza kua na ufahamu wa mpira
 
Wa kwanza militao,goli zote zmepita kwake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na eneo la kiungo,goli mbili za kwanza zimetokea kwa kroos,kroos alikuwa na Benardo,akamuacha hata kumzuia asipige hakufanya hivyo,akamuacha akapokea mpira akafunga,la pili kwa modric kasimama bernado anatoka anaenda kucheza mpira tunafungwa.

Ni maswala ya umri nakwa sababu wameshinda kila kitu,ile mizuka haipo tena.

Cha pili ushambuliaji,Benzema kwa muda sasa hayupo kwenye ubora hata wa 80%,mpira haukai mguuni,ile control hana na hata namna yakurespond kwa wenzake akiwa na mpira kwa sasa ni low sana.

Eneo lingine ni beki za pembeni na kati,pembeni hatuna mbadala ndo maana tunamrudisha camavinga acheze kushoto ilihali kulia nako akiumia Carvajall basi hatuna mtu mwingine.

Game ya jana kupoteza ni matokeo ya Carlo kupanga kikosi kile kile na style ya uchezaji ule ule wakat mwenzako misimu kadhaa nyuma ukijumlisha na uliopita unakuwa unamtoa kila mara,na unaona anakusoma ilihali sisi hatubadiliki,huwez kumtegemea Benzema au Kutegemea mipira ya vichwa/cross ilihali City alienda sokoni kununua wachezaji wa nyuma warefu,ilitakiwa pale after first leg tujifunze kuwa ile style imefail tuje na mpango mpya wakutawala eneo la kati.

However,hatuumii kufungwa na City ila tunaumia kupoteza ubingwa wetu huu wa UCL katika hatua hii ya nusu fainali na ikumbukwe hili kombe ni haki yetu nani letu na pia ndio historia yetu na ubora wetu, na ndio maana ni club bora duniani kwa karne tatu kama siyo nne mfululizo na ndio maana huwa tunalibeba back to back as much as we can.

Halla madrid.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Umekalil vibaya mkuu SPANISH LA LIGA ndo my first choice tangu 1998.
Hapo EPL utanikuta nipo the blues tangu enzi za claudio Ranieri
Sasa hapo ndio hoja ilipo kuwa LA LIGA bongo haina mvuto na mashabiki wengi humu jukwaani lazima wana timu zao za EPL wanashabikia (hio ndio hoja yetu). Kama mngekua mashabiki kweli mngebaki tu kuwa mashabiki wa Madrid bila kuwa na timu ingine EPL(Wengi wanashabikia Madrid sababu ya kufuata furaha ya UEFA)

Kwa kuwa EPL ni ligi maarufu bongo ndio maana wengi lazima wanaoshabikia. Ni kawaida mashabiki wengi wa EPL wanashabikia EPL tu bila kushabikia LA LIGA ila ni nadra kumkuta mshabiki wa LA LIGA hashabikii EPL (wengi wenu mnaishabikia EPL)
 
Don carlo anasisitiza kwamba bado yupo yupo sana. Nilifikiri XABI ALONSO na RAUL GONZALEZI wangepewa mikoba ila tuendeleee kumuamini DON CARLO aendelee kutuongoza.
Kwa mimi nafikiri anatakiwa aachie ngazi,aje Xavi alonso ambaye kaonyesha jambo huko Ujerumani..

Don carlo kafikia mwisho wa mbinu kwa sasa,inahitajika akili mpya na mipango mipya.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapo ndio hoja ilipo kuwa LA LIGA bongo haina mvuto na mashabiki wengi humu jukwaani lazima wana timu zao za EPL wanashabikia (hio ndio hoja yetu). Kama mngekua mashabiki kweli mngebaki tu kuwa mashabiki wa Madrid bila kuwa na timu ingine EPL(Wengi wanashabikia Madrid sababu ya kufuata furaha ya UEFA)

Kwa kuwa EPL ni ligi maarufu bongo ndio maana wengi lazima wanaoshabikia. Ni kawaida mashabiki wengi wa EPL wanashabikia EPL tu bila kushabikia LA LIGA ila ni nadra kumkuta mshabiki wa LA LIGA hashabikii EPL (wengi wenu mnaishabikia EPL)
Mimi sina timu EPL wala hio ligi hua sina mzuka nayo
 
Swali unashabikia timu gani EPL? (najua unayo unayofatilia). Hapo ndio hoja yetu ilipo mkuu kuwa Madrid ni second choice yenu mmefuata glory ya kushangilia UEFA ikiisha nyinyi ni GLORY HUNTERS.UEFA ikiisha mnarudi timu zenu. BONGO HAKUNA MASHABIKI WA LA LIGA.
Tatizo mmekariri kwamba kila anaependa mpira lazima awe na timu England. Binafsi ni die hard fan wa Ac Milan, nafuatilia Serie A kama mnavyofuatilia Epl. Sina timu nnayoshabikia England zaidi ya kuwaheshimu tu Liverpool ambao Milan tuna historia nao. Ila sababu napenda mpira naangalia sana na kuifuatilia pia Epl sababu ni wazi ndio ligi maarufu, na sababu kila mwaka huwa nacheza Epl fantasy. Nafahamu pia watu wanaoishabikia timu kama Bayern, Madrid, Juve n.k kindakindaki na Epl wanaangalia kwa mapenzi tu ya mpira, so usikariri kila mtu lazima awe na timu England. Kingine Madrid haijaanza kutakata miaka ya karibuni ambayo wameanza kuchkua uefa mfululizo kama wengi wanavyodhani. Miaka na miaka Madrid hawajawahi kupotea kwenye ramani, toka miaka hiyo mpaka zama za Florentino Perez kuanzia miaka ya 2000 na policy yake ya Galacticos. So ni sahihi kumkuta mkongwe anashabikia Madrid
 
Sasa hapo ndio hoja ilipo kuwa LA LIGA bongo haina mvuto na mashabiki wengi humu jukwaani lazima wana timu zao za EPL wanashabikia (hio ndio hoja yetu). Kama mngekua mashabiki kweli mngebaki tu kuwa mashabiki wa Madrid bila kuwa na timu ingine EPL(Wengi wanashabikia Madrid sababu ya kufuata furaha ya UEFA)

Kwa kuwa EPL ni ligi maarufu bongo ndio maana wengi lazima wanaoshabikia. Ni kawaida mashabiki wengi wa EPL wanashabikia EPL tu bila kushabikia LA LIGA ila ni nadra kumkuta mshabiki wa LA LIGA hashabikii EPL (wengi wenu mnaishabikia EPL)
Huo mvuto unaousemea ni upi....??
 
Tatizo mmekariri kwamba kila anaependa mpira lazima awe na timu England. Binafsi ni die hard fan wa Ac Milan, nafuatilia Serie A kama mnavyofuatilia Epl. Sina timu nnayoshabikia England zaidi ya kuwaheshimu tu Liverpool ambao Milan tuna historia nao. Ila sababu napenda mpira naangalia sana na kuifuatilia pia Epl sababu ni wazi ndio ligi maarufu, na sababu kila mwaka huwa nacheza Epl fantasy. Nafahamu pia watu wanaoishabikia timu kama Bayern Madrid, Juve n.k kindakindaki na Epl wanaangalia kwa mapenzi tu mpira, so usikariri kila mtu lazima awe na timu England. Kingine Madrid haijaanza kutakata miaka ya karibuni ambayo wameanza kuchkua uefa mfululizo kama wengi wanavyodhani. Miaka na miaka Madrid hawajawahi kupotea kwenye ramani, toka miaka hiyo mpaka zama za Florentino Perez kuanzia miaka ya 2000 na policy yake ya Galacticos. So ni sahihi kumkuta mkongwe anashabikia Madrid
Mkumbushe hvi real madrid ndio club of the century hadi sasa anashikilia iyo tuzo
 
Asiyekubali kushindwa sio mshindani. Jana city alikuwa bora kuliko sisi.
Tuliingia na mfumo wa kujulinda sana tupige back passes nyingi ili kuwapeleka city dakika za jion ambazo sisi huwa ndo gari linawaka mpango una fail.
The only thing do Carlo alichojisahau ni kwamba the only way to defend is to possess the ball while attacking.
Tumsamehe tuu wachezaji tuwape maua yao wamefanya kazi wamezidiwa mbinu na pep.
 
Back
Top Bottom